Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.

Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.

Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.

Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
 
Sahihi kabisa, Kosa kubwa la kimahesabu ambalo Nchimbi KESHAANZA kulifanya ni Hilo la kujifanya anampiga jungu mtu ambaye anachokifanya, ndicho Wananchi wanataka.

Niliwahi andika humu, MAGUFULI amewaonyesha watanzania ni Kiongozi wa aina gan anayefaa.

Nikasema pia, Kwa Sasa kisiasa ili ukubarike ni LAZIMA NA SEMA NI LAZIMA UWE UMEVAA VIATU VYA MAGUFULI kinyume nahapo hutoeleweka hata ufanye nn.

Dr Nchimbi, asidhani yeye ni speshooo sana, DOLA inajua , na DOLA ndio inayoeneesha CCM, Mh Paul Makonda, majuzi kagusia kitu Cha msingi sana kwamba "Kwenye CCM yetu Kuna wakati hatuleti MGOMBEA kisa anapendwa na wajumbe, Kuna wakati tunawasikiliza Wananchi wanataka nini!!.

Dr. Nchimbi akitaka Vita na Makonda, Ataanguka yeye mwenyewe !!.

Makonda ndio wale ambao ukiwagusa, Mungu anakuchapa.

Makonda keshapewa Baraka zoooote na Wazee wa Nchi.
 
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.

Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.

Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.

Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Na kweli maana ushawishi wa zile KALIO za Bashite ni noma
 
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.

Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.

Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.

Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Huu ni ukweli, nadhani ni busara waende pamoja au KM afanye ziara za kawaida na swala la uhai wa Chama abakie Makonda na Jokate tena ikiwezekana wawe pamoja.
 
Mnatazama vitu juu juu sana ndio maana mnakosa muunganiko sahihi wa mitazamo yenu. Mtazamo wa SG Nchimbi na Mwenezi Makonda unaweza kutofautuana kwenye hoja ifuatayo:

Nchimbi ana mtazamo wa kujenga utaasisi ndani ya CCM na kuondokana na mfumo mtu ambao anajua pasina na shaka athari za mfumo huo Kwa CCM. Leo ukimuuliza Nchimbi ni kipi kinatakiwa kitangulie mbele kati ya yeye na CCM atakuambia ni CCM Kwa sababu mfumo mtu ni hatari sana.

Kwa mtazamo wako na pengine na wa Makonda ni kwamba CCM inahitaji watu wenye nguvu ili kutunishiana misuli na kuulizana nani ana nguvu kati yetu? Hapana CCM inahitaji kujijenga na kuwa taasisi imara ambayo itakuwa na nguvu ya kudhibiti watu wake na Hilo ndio jukumu alilonalo SG Kwa Sasa.

Kwanza anatakiwa kuua nguvu zozote ambazo zitakinzana na nguvu ya Chama.

Pili, kukemea vitendo vyote ambavyo vitahatarisha uwepo wa CCM.

Tatu, kupambana na yeyote aliye kinyume na CCM.

MWISHO, Kujenga taasisi yenye nguvu na sauti kuliko watu. Taasisi ndio unatakiwa kuwa na nguvu ya ushawishi na sio watu.

Akifanikiwa katika hayo nakuhakikishia sio Makonda unayomuona ana nguvu kuliko SG wala yeyote yule atakayetamani kupambana na CCM na akafanikiwa na wanachama watakuwa wanakitegemea chama.
 
Hilo kwa sasa tunapoelekea kwenye chaguzi haliwezi kuwa na tija!

Huwezi kujenga dhana ya u Taasisi kwa muda mfupi na ukayaona matokeo. CCM ilishindwa kusimamia dhana hiyo tangu ilipoasisiwa; Dr Nchimbi ni nani hata afanikiwe chini ya mwaka mmoja tu?

Wananchi tunautaka mwendo wa Makonda kwa sasa
 
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.

Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.

Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.

Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.

Ushawishi wa matra***oo
 
Kijana yuko vizuri ila tu yupo kwenye jumba bovu. Mungu amsaidie
 
Makonda aendelee hivyo hivyo ili amfunike huyo Nchimbi. Aibu sana katibu Mwenezi anakuwa na ushawishi kuliko katibu Mkuu. Very stupid.
 
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.

Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.

Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.

Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Inatuhusu nini hapa, ndani ya ccm nani msafi, niseme tu kiuongozi na kuijua nchi huwezi mlinganisha Nchimbi na makonda, muwe na adabu ndani ya chama chenu japo kimekufa, makonda na nchimbi wapi na wapi ?

Huyu makonda alieshikwa mkono na akina kikwete, Membe ,Sitta ndo wakumlinganisha na Nchimbi , huijui Dunia wewe pumbavu
 
Back
Top Bottom