kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Yaani sahv Tanzania mambo yote ya hovyo yamerudi
Serikali isiyojali
Utawala wa wenye nchi na wala nchi
Viongozi wasiojali tena na wasio na hofu ya Mungu
Serikali isiyojali wananchi
Rushwa, ufisadi na ukwepakodi
Kila kitu kimeharibiwa kuanzia Tanesco, reli, maji kila miradi imevurugwa yaani
Uzembe umepanda hadi asilimia 10000%
Nchi ni kama haina rais tu nchi imekua kama kuku anayetembea huku amekatwa kichwa
Taifa limepoteza mwelekeo
Sahivi dira,mikakati, na malengo na utekelezaji hamna tena.
Wananchi wamejikatia tamaa wamepuuzwa, wamebezwa, hawasikilizwi, hata wale wa upinzani wengi wao walokua tumaini lao wamegeuka walamba asali
Sasa hivi wakubwa wanajijazilishia mifuko yao tu hii inaitwa chukua chako mapema!! Khee mwashangaa nini si nchi ipo chini ya mama?washaambiwa wale kwa akili kujipimia lakini wasivimbiwe!!
Sasahiv wahuni wanapita na V8 hadi kwenye barabara za mwendokasi na kuchomekea na kusababisha ajali, ukihoji unaulizwa "unanijuwa mimi ni nani?"
Sasa hiv kuna wananchi wenye nchi na wala nchi, nyakati za kusimangwa mkale nyasi ndo hizi nyie kufeni kwa tozo na mfumuko wao wanajipandishia mishahara safari na matozo
Hakuna anayejali tena sahivi watu wanagawana mbao tu kila mtu apite hivi, watu wanakopa wanapiga cha juu hawajali tena hatma....Nyie fieni kwenye hosptali za umma kitanda kimoja watu watatu wao hata mafua tu wanaenda kutibiwa nje
Wana bima za maisha kupitia mkataba wa mwitongo kwamba hadi vizazi vyao vitapewa nchi..
Hii ndo Tanganyika, nchi iliyobarikiwa kila kitu ikalaaniwa kwa kukosa watawala na viongozi wenye akili.