Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Utangulizi Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa...
22 Reactions
130 Replies
11K Views
Tunakumbushana tu kuwa mchakato wa Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ndio Umeshaanza kwa Miswada ya marekebisho ya sheria za Uchaguzi kupelekwa bungeni Hivyo basi agizo la...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Baada ya Mkuu mpya wa KKKT, Askofu Malasusa kutoa kauli kwamba hajalelewa kuwa kinyume na serikali kuliibuka maneno makali na shutuma kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA. Askofu Shoo mkuu aliyestaafu wa...
0 Reactions
8 Replies
716 Views
https://www.youtube.com/watch?v=0ws8xgGKvhw Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria, Joseph Mhagama leo Januari 22, 2024 amezungumza na vyombo vya Habari ambapo ameeleza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu, nakileta kwako kilio Cha sisi wazazi WALALAHOI tunaosomesha watoto katika shule ya Msingi JUHUDI, kata ya Lukobe. Mheshimiwa, sina uhakika kama Una taarifa zozote kwamba ndani ya kama...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
2015 katika hali ya kushangaza na kukosa hekima Chadema wakamchukua mzee Lowasa wa CCM agombee Urais na mzee Duni wa CUF awe mgombea mwenza Maana yake Chadema kama " Chadema" haikuwa na mgombea...
3 Reactions
18 Replies
909 Views
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
".....Nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia." "...Endelea kutatua changamoto za...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Salam ndugu zangu, Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi. Vipi...
2 Reactions
7 Replies
749 Views
Jana wakati wa ibada ya kumuingiza kazini Askofu Malasusa nilishangaa kuona tena Rais Samia akiingia na jukwaa lake la kimamlaka pamoja na kiti chake cha kimamlaka licha ya kwamba tulishawahi...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Upendo Peneza ameitisha mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar na huenda akatangaza uamuzi mgumu. More to follow ============ UPDATES: => Upendo...
32 Reactions
301 Replies
43K Views
Mara ya kwanza kumwona na kumsikiliza live ilikuwa Kakola Kahama,mara ya pili juzi Nyang'hwale,nimemsoma akiwa Uganda na aliyekuwa kiongozi mathubuti wa chama pinzani Besigye na kwenye mijadala...
8 Reactions
219 Replies
38K Views
Wengi mtakuwa mlisikia juu ya ajali mbaya niliyopata mimi na makamanda wengine watatu tukielekea kwenye mkutano wa hadhara, Geita. Ni moja ya ajali mbaya kiasi kwamba kila mtu akiona gari...
8 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwa hakika nimesikiliza mchango wa mbunge Upendo Peneza leo bungeni, nakiri kuwa ni moja wa wadada wabunge na vijana wenye uwezo mkubwa sana. Ameongelea ambo mengi sana kuhusu Matumizi ya Service...
8 Reactions
40 Replies
14K Views
Mh. Upendo Peneza mbunge wa Geita viti maalum, na Diwani wa Kata ya Kasamwa wamekamatwa jioni hii.... Wako kituo cha polisi Geita Mjini... Sababu bado hazijajulikana. Nitawajuza kitakachojiri...
8 Reactions
135 Replies
18K Views
CHADEMA ina maana mmesahau ya Arusha miaka kadhaa iliyopita? Hamkumbuki kuwa mamluki wa UVCCM na baadhi ya polisi walitumiwa na CCM kwa kuwavalisha mabomu na kuyalipua mkutanoni na kujeruhi na...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom