CCM Tumieni Combination ya Paul Makonda & Jokate Mwegelo Kuwapoteza Wapinzani.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,838
Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane.

Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na kundi lake la yule DC wa Mbomero na mlima Nyanya kuwe na makundi 2 huko site.

Hii itasiidia wazee kina Nchimbi kujikita zaidi kwenye masuala ya Maadili Kwa sababu Wazee hawana amsha amsha Kwa niaba ya Mama.

Ni ushauri tuu lakini sio lazima muufuate.

View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1748945924896788618?t=4h27YhX5ce7kIDPKmQqkbw&s=19

My Take: Machadema yakisikia Makonda Pichu zinalegea.

Chuma kinatema Cheche

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1748735759819935758?t=fe-EU80bPxvs0XSSz7G2rw&s=19
 
Kwa dalili za awali zilizopo CCM inarudi rasmi kwenye matabaka ya kila mtu kuwa na chama chake ndani ya chama hicho hicho.

Tatizo la Makonda anapenda kuwa juu ya wengine wote, daima hujihisi kuwa yeye ndie mteule wa viongozi wote.
Nchimbi daima anajulikana kuwa mzee wa majungu na fitna. Hawatoweza kuiva chungu kimoja na Makonda.

Soon kutakuwa na CCM ya Makonda na ya Nchimbi.
 
Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane.

Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na kundi lake la yule DC wa Mbomero na mlima Nyanya kuwe na makundi 2 huko site.

Hii itasiidia wazee kina Nchimbi kujikita zaidi kwenye masuala ya Maadili Kwa sababu Wazee hawana amsha amsha Kwa niaba ya Mama.

Ni ushauri tuu lakini sio lazima muufuate.
Konda na mwegelo hawanalolote
 
Popoma at work

WaTanzania wanahitaji UMEME mfumuko wa bei ushuke...maji barabara nk sio NZAWISA
 
Yani ao uliwataja wanahoja gani za maana kwa mfano ambazo watu wenye akili timamu wanaweza kukaa na kuwasikiliza na mwisho wa siku wakasema hawa watu wanaweza! Kama Samia mwenyewe Rais hawezi ata kushawishi mtu kwa logic ndo Jokate aweze?
 
Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane.

Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na kundi lake la yule DC wa Mbomero na mlima Nyanya kuwe na makundi 2 huko site.

Hii itasiidia wazee kina Nchimbi kujikita zaidi kwenye masuala ya Maadili Kwa sababu Wazee hawana amsha amsha Kwa niaba ya Mama.

Ni ushauri tuu lakini sio lazima muufuate.
KASHINDWA MAGUFULI wataweza hao CHAWA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom