ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,054
- 49,742
Inashangaza na kusikitisha kwamba Viongozi wa Serikali wenye dhamana kuanzia Mawaziri Hadi Watendaji wa Vijiji Kushindwa kutatua Changamoto za Wananchi ambao wanawahudumia Kila siku badala yake watu kuwa na Imani na Makonda ambae hana mamlaka ya kiserikali ya kuzitatua,hivi nyie viongozi Hamuoni Aibu? Je mumejipima mnatosha?
Kwa nini hamfanyi mikutano na vikao mara Kwa mara na Wananchi kiasi kwamba waamini Makonda ndio myetezi wao? Kazi zenu hasa ni zipi?
View: https://www.instagram.com/reel/C2YyeumMAF_/?igsh=MWxiNmxzZnQzYzMwZw==
My Take
Kwa Mwendo huu ni Bora awamu ijayo Rais awe Makonda Ili mpelekewe moto kama alivyofanya Mwendazake.
Inakera sana kuwa na Viongozi ngazi zote lakini Kuna Changamoto za Wananchi za miaka na mikaka.
View: https://www.instagram.com/p/C2YancKi1tK/?igsh=MTI0MmJ2bnJmbXMxcQ==