Rose Mhando amshukia Magige kumshambuli Mpina

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676
3 hours ago
Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili kubwa japo hatuko huko bungeni kwenu ,Sasa hapo ndo umefanya nini kumbuka huyo ni Rais na unapojaribu kutengeneza jambo kuhusu yeye ni lazima ujenge hoja ya msingi,unaropoka kama uko kijiweni na unawongea na wasela, leta hoja yenye nguvu na mashiko sio kukurupuka ,na kama hujui kujenga hoja kaa pembeni acha wanaojuwa kuzungumza wazungumze !!

View: https://youtu.be/hd5shMNqcZs?si=_Gn2ToRi4ftZO6ao
 
"usimdharau mtu, kesho aweza kuwa boss wako"

Live long comrade Paul Makonda. 😎

-Kaveli-
 
Hivi ikitokea la kutokea mpina akawa namba moja nchini cathe ataweka wapi uso wake!
Kesho sio mbali sana so tuwe makini na leo inayotoa matokeo kesho.
 
Japo hajui kuandika vizuri, lakini ujumbe wake una maana.

Bunge linakosa hadhi kisa tu kuna watu wa ajabu ajabu, anaongea unaweza kusema ni mtoto wa darasa la 3C.
 
Huyu Catherine kaishia darasa la ngapi?.

0.25001800%201486011403.png

Hon. Catherine Valentine Magige​

Member Type : Special Seats

Constituent : Special Seats

Political Party : CCM

Phone : +255784440444

P.O Box : P. O. Box 941, Dodoma

Email Address : c.magige@bunge.go.tz

Date of Birth : 1981-05-08

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Open University of TanzaniaBachelor of Arts (BA) in Mass Communication20152018Bachelor Degree
College of Business EducationCertificate of Business Administration20052008Certificate
Dar es Salaam School of JournalismAdvance Certificate of Journalism20032004Certificate
Ngarenaro Girls Secondary SchoolCSEE19961999Secondary School
Kimandolu Primary SchoolCPEE19891995Primary School
 
Aahh kumbe ndio Sababu hana akili .
 
Kwa kifupi ni mweupe.
 
Hivi chuga watu wote makona huyu ndio viti maalum mumpe sio. Maremu kuzolwa madoda ameshaenda kupaililia kaburi lake
 
Back
Top Bottom