Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nitoe pole kwa kifo cha mchungaji mzee wetu mwaisapila "Babu wa loliondo." Nije kwenye ajenda husika. Babu wa loliondo aliutangazia umma kuwa kaoteshwa na mungu dawa ya kutibu magonjwa...
4 Reactions
5 Replies
917 Views
Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira...
2 Reactions
8 Replies
560 Views
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea...
24 Reactions
88 Replies
5K Views
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
GTs, Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote. Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo ni kishindo ,ni mtetemeko na mateka kwa siasa za Tanzania pale ambapo majabali wawili kutoka ndani ya chama cha Mapinduzi CCM watakapo kwenda kuisimamisha na...
7 Reactions
165 Replies
6K Views
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa. Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu...
2 Reactions
3 Replies
602 Views
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
📌📌 MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA Asema tunakwenda kupata ongezeko la zaidi ya Megawati...
1 Reactions
4 Replies
586 Views
Wana JF kuna jambo hili ambalo binafsi limenishughulisha kitambo. Takwimu za Tume ya Marekebisho ya Katiba zimekuwa zikisimamiwa kidedea mno na kundi moja la kisiasa juu ya kutoafiki usahihi wa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie...
2 Reactions
7 Replies
831 Views
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha watoa taarifa, CHADEMA, kukosa hoja na kutumia neno KIFO kutishia watu walio kinyume na itikadi yake. Huyu akishika dola si ataua watu wengi sana...
1 Reactions
2 Replies
571 Views
Akemea tabia wa Wakurugenzi kuvizia Wananchi wajichange kisha ndio kuwapelekea huduma za kijamii kama Vituo vya Afya na Shule. Karibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani. Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda...
13 Reactions
43 Replies
4K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana, si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake...
10 Reactions
65 Replies
22K Views
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa...
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Kutumbuana kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu. Makonda kaenda pangani kakutana na mkurugenzi aliyewahi kukorofishana naye kisha amemwelekeza waziri atumbue uteuzi wake huku akijua kabisa...
2 Reactions
5 Replies
875 Views
Back
Top Bottom