Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka. "Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa...
2 Reactions
3 Replies
776 Views
Angalia hapa jinsi Makonda alivyoingia kwenye mkutano na Mkokoteni wa Ndizi. Nini maoni yako? 📹 WasafiTv
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Akikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jimboni Kawe mh Gwajima ameshangaa mbunge wa zamani Halima Mdee kwa miaka 15 alikuwa anafanya Kazi gani Dr Gwajima anasema Halima Mdee hajafanya lolote...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Enzi za utawala wa Mzee Ruksa bila kujua athari zake alimwachie Late Mrema madaraka makubwa kupitiliza. Awamu ya Sita namwona Mama akirejea makosa yale yale ya kumwachia maradaka makubwa Bashite...
6 Reactions
14 Replies
988 Views
Benki ya DCB imalazimika kuwachukulia UVCCM hatua Kali. Watumishi wa UVCCM waliokopa fedha kutoka DCB Bank wameshindwa kurudisha madeni hayo kwa zaidi ya miaka 10. Huu ni uhujumu uchumi kama...
13 Reactions
82 Replies
6K Views
Watanzania wote wanafahamu na kimsingi wamekubali kushiriki kikamilifu Maandamano hayo ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA , ili kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa bungeni...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wapo watu wengi wenye sifa za kupiga kura, lakini wamekuwa wakijiandikisha na baada ya hapo hawaendi kupiga kura kuwachagua viongozi wa kuwaongoza, na wengine hawajiandikishi kabisa licha ya kuwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wanaofuatilia Siasa za CCM wataelewa ninachosema Shaka na Mjema waliachana na Ubunifu wa Komredi Polepole wakafeli na kutumbuliwa lakini Komredi Makonda anazitumia na anafanikiwa Sana Hata...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa viti Maalumu Chadema, Mheshimiwa Upendo Peneza, katika mkutano wa hadhara uliyofanyika Ruangwa Mjini, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Wanajukwaa salaam, Kwa miaka 20 vyama vya upinzani vya NCCR MAGEUZI na TLP vimepata kuliongoza Jimbo la Vunjo katika nafasi ya ubunge. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata nafasi ya kuliongoza...
1 Reactions
3 Replies
664 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Utekelezaji wa mradi DMDP katika awamu ya 4 na 5 ulibadilisha kwa kiasi kikubwa taswira mbaya ya miundombinu ya barabara kwa jiji la Dar es salaam. Kuna maeneo ambayo yalionekana kama ni ya...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu...
2 Reactions
8 Replies
671 Views
Katika hili la ulinzi wa Mipaka na barabara zake nampongeza CDF kwa kuliona na zaidi nampongeza Rais Samia kwa kuahidi kuliwekea mkakati Maalum Nakumbuka mgombea Urais mmoja wa nchi jirani...
0 Reactions
7 Replies
797 Views
Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo...
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Sisi wakaazi wa Kibaigwa wilayani Kongwa tunasema Sasa basi. Miaka 60 madarakani lkn BARABARA zetu zipo hovyoo kiasi hiki? Kila siku mnajitapa tumejenga barabara za lami oooh mahospitali oooh...
2 Reactions
13 Replies
850 Views
Wadau nawaomba kufahamu TOFAUTI ya MAANDAMANO anayofanya MAKONDA yakiwa na MISULULU ya Watembea kwa miguu bodoboda Bajaji na magari wakiwa na Bendera za CCM na yatakayofanywa na CHADEMA? Naamini...
0 Reactions
6 Replies
636 Views
Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom