Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993

"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.

"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?

"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"

Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.

=======================
For English Audience

Makonda, argues that if appointed during Magufuli's era, the situation would have been different. He also questions the need for a nation of protests, similar to Kenyan counterparts, which may result in losing tourists.

PIA, SOMA:

Matamko mengine ya Paul Makonda
 
Lissu kapiga kelele weee kwamba makonda anahusika, ooohh sijui nini, Mbona Lissu kaufyata !? Kwa nini hamsemi Makonda hadharani kama alivyokuwa anamsema? Mpaka anakimbilia Pwani ya Ndovu kujificha akijifanya anaangalia mpira!? Amwage mchele, sasa yeye na makonda wana majukwaa, wapambane tuone!
 
Wajinga mpo wengi wengi sana mpaka makonda amuue mkeo ndio utaamini maneno ya lissu ukweli unabaki pale pale makonda ndie mhusika mbona hajakana hadharani Mungu atakuja amua huu ugomvi kama alivyoamua kwa Mwendazake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Lissu kapiga kelele weee kwamba makonda anahusika, ooohh sijui nini, Mbona Lissu kaufyata !? Kwa nini hamsemi Makonda hadharani kama alivyokuwa anamsema? Mpaka anakimbilia Pwani ya Ndovu kujificha akijifanya anaangalia mpira!? Amwage mchele, sasa yeye na makonda wana majukwaa, wapambane tuone!
Yaani viwango vya lissu umuweke makonda?
 
Lissu kapiga kelele weee kwamba makonda anahusika, ooohh sijui nini, Mbona Lissu kaufyata !? Kwa nini hamsemi Makonda hadharani kama alivyokuwa anamsema? Mpaka anakimbilia Pwani ya Ndovu kujificha akijifanya anaangalia mpira!? Amwage mchele, sasa yeye na makonda wana majukwaa, wapambane tuone!
Wajinga hawajawahi hata kupungua
 
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.

"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?

"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"

Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.
Kwa kauili hii huyu ndio alihusika kupoteza wakosoaji wa jiwe
 
Huyu ni sifuri kuanzia kwenye vyeti hadi uongozi.

"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.

"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?

"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"

Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.

"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.

"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo huo kwanini tumuonee mama wa watu? Kwanini tuchafue heshima ya Taifa hili?

"Kwanini na sisi ttuwe Taifa la Maandamano kama wenzetu Wakenya mpaka wanakosa watalii?"

Ameyasema hayo Mwenezi Makonda kwenye ziara yake Moshi, Kilimanjaro.
Kiukweli makonda ni mtu sahihi katika nafasi hiyo ya uenezi.. ameongea something that sound maana maandamano Yana madhara makubwa sana ikiwemo katk sector ya utalii kama alivyosema lkn pia itavuruga amani ya nchi kwa kias chake hivyo hatuna budi watanzania kuachanà na maandamano na badala yake tukailinda amani ya taifa letu ... Ni jukumu letu sote kuilinda aman haijalishi ni member wa chama gani .. pongezi ziende kwake Makonda ,hakikaaa ingekuwa ni enzi za uncle angewanyoosha💪
 
images (15).jpeg

Jambazi lililovamia ofisi ya watu usiku ndio kunyoosha?

Serikali ianze kunyoosha majambazi kama haya badala ya kuyapa uongozi.

La si hivyo ni serikali ya kijambazi hiyo.
 
Lissu kapiga kelele weee kwamba makonda anahusika, ooohh sijui nini, Mbona Lissu kaufyata !? Kwa nini hamsemi Makonda hadharani kama alivyokuwa anamsema? Mpaka anakimbilia Pwani ya Ndovu kujificha akijifanya anaangalia mpira!? Amwage mchele, sasa yeye na makonda wana majukwaa, wapambane tuone!
Mimba iliyokutunga wewe bila shaka ilipatikana kwenye mkesha wa mbio za mwenge. Wewe ni punguani, takataka tena popoma kabisa
 
Lissu kapiga kelele weee kwamba makonda anahusika, ooohh sijui nini, Mbona Lissu kaufyata !? Kwa nini hamsemi Makonda hadharani kama alivyokuwa anamsema? Mpaka anakimbilia Pwani ya Ndovu kujificha akijifanya anaangalia mpira!? Amwage mchele, sasa yeye na makonda wana majukwaa, wapambane tuone!
Lini mtaacha upumbavu wa kubeza/kushabikia mambo yanayohusu uhai wa Mtu/Watu????
 
Back
Top Bottom