GENTAMYCINE nafurahi sana acheni awanyoosheni kwani wengi wenu alipokuwa bench mlikuwa mkimcheka na kumdharau mno.
Halafu nawaibieni Siri kuwa Mwenezi CCM Makonda ana Baraka zote za Aliyewateueni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na...
Kheri za mwaka mpya wanajukwaa!
Nimeona na mimi kama mtanzania niungane na CDF kutafakari kwa kina hali ya ulinzi na usalama nchini.
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada yangu kama...
Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa...
SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya...
2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo.
So far...
Inavyoonekana yale maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika keshokutwa, yatafanyika.
Sasa nimeanza kuona eti pongezi anapewa Rais Samia!
‘Whims’ za Samia ndo zimekuwa haki za kikatiba au...
Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe.
Wasiohusika...
Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya...
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi...
Hivi kweli mwanachama wa CCM uliye na akili timamu unaweza kukusanywa namna hii na kuelezwa uongo wa kitoto kama Juha?
Kwanini mnakubali kudhalilishwa namna hii na huyo Katibu wenu itikadi...
Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa...
Habari za muda huu Wakuu,
Sote tumeshuhudia video mbalimbali za uharibifu wa makazi ya watu Jijini Dar baada ya ile mvua ya juzi, ambapo tulitegemea kuwa vikosi vya uokozi katika majanga na...
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za...
Tumesikia matamko huko Mwanza, Dar na kwingineko Viongozi wa Machinga na bodaboda kadhaa wakitoa tamko kuwa wao habari za maandamano hawazitaki na kuwa wanaunga mkono serikali na "juhudi" zake...
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.