MTANZANIA620
Member
- Jun 20, 2023
- 34
- 30
Wanajukwaa salaam,
Kwa miaka 20 vyama vya upinzani vya NCCR MAGEUZI na TLP vimepata kuliongoza Jimbo la Vunjo katika nafasi ya ubunge.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata nafasi ya kuliongoza Jimbo hilo mwaka 2005-2010 na sasa 2020-2025 kupitia kwa Dkt Charles Kimei.
Duru za kisiasa zinaeleza Dkt. Kimei amejijengea ushawishi mkubwa kwa sasa kuliko mwanasiasa yeyote katika Jimbo hilo ndani na nje ya CCM.
Hivyo ni wazi kwamba upinzani hauwezi kuwekeza sana katika Jimbo hilo kwa kuwa hawataambulia chochote.