CCM tuachieni Nchi yetu. Miaka 60 barabara ovyo!

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Sisi wakaazi wa Kibaigwa wilayani Kongwa tunasema Sasa basi.

Miaka 60 madarakani lkn BARABARA zetu zipo hovyoo kiasi hiki?

Kila siku mnajitapa tumejenga barabara za lami oooh mahospitali oooh shulee.

Tazameni jinsi tunavyo taabika sisi wapigaji kura namba moja hapa Tanzania kwa ccm.

Mbunge wetu Ndugai upo wapi mbona umeamua kutukimbia?

 
Back
Top Bottom