Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi!

Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi??

Haiwezekani unaklipiwa kama mtoto wa chekechea na bado mpo na amtoi tamko, kama vile hivyo vyeo mmepewa kama asante!

Waziri wa ardhi juzi nilisikia akiamlishwa kama mtoto nikabaki nacheka nikajiuliza maswali mengi sana, ila moja nilichokiona nikuwa ndani ya CCM ukiteuliwa nikama vile umepewa posho!,na kingine nimegundua wengi hawana uhalali na mamlaka waliyo nayo.

Nimeona mbunge wa Kawe akinyoshewa vidole yupo kimyaa hii nchi sijaielewa kabisa! Mbunge umepigiwa kura na wananchi Mwenezi anakutetemesha? Waziri umeteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano bado unapewa amri na Mwenezi, Inamaana hakuna mipaka ya utendaji katika Chama?

Hasa hawa wanasiasa nadhani awajitambui!

Namalizia hapa!
 
Mkuu mtoa hoja ,ngoja nikufahamishe ili uelimike, elewa CENTRE OF POWER IPO LUMUMBA STREET na sio State House, ni political party ndio inayounda serikali not other way round ,Prime Minister, Ministers ni deployed cardes wa chama, anayekaa LUMUMBA street ana uwezo wa kimamlaka dhidi ya wateule wote, mbunge wa kawe ni mwana ccm,lazima aheshimu maboss wake wa LUMUMBA street, nadhani umepata mwanga kiasi
 
Mkuu mtoa hoja ,ngoja nikufahamishe ili uelimike, elewa CENTRE OF POWER IPO LUMUMBA STREET na sio State House, ni political party ndio inayounda serikali not other way round ...
Hiyo mkuu naielewa but not to that extent, kweli sasa mbona katibu wa chama ndo mwenye mamlaka afanyi kama afanyavyo Mwenezi?
 
Back
Top Bottom