Kaa Tayari kwa Ratiba kamili na Jinsi ya Kushiriki Maandamano ya Amani tarehe 24/01/2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,403
Watanzania wote wanafahamu na kimsingi wamekubali kushiriki kikamilifu Maandamano hayo ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA , ili kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa bungeni.

Awali Katibu Mkuu wa Chadema alieleza kwamba maandamano hayo yataanzia Mbezi na Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za UN , ambako inatarajiwa yatapokelewa na Maofisa wa UN kwa niaba ya Katibu Mkuu wa UN (zipo tetesi kwamba huenda Katibu Mkuu wa UN akaingia Tanzania ili kupokea maandamano hayo)

Sasa kwa Washiriki wa Maandamano , wanafikaje Mbezi na Buguruni ? ni Saa ngapi hasa wanatakiwa kufika ? Wanapokelewa na nani ? wanaelekezwa na nani ? na ni Buguruni ipi au Mbezi ipi ?

Kwa Majibu ya maswali haya na mengine na kwa mwongozo ulionyooka kuelekea maandamano haya ya Amani endelea kubaki hapa hapa JF .

Tunaweka kila kitu mapema kwa vile siku ya maandamano hatutakua na muda wa kuandika chochote

MUHIMU : MUANDAMANAJI HUTAKIWI KUBEBA SILAHA YA AINA YOYOTE ILE , UKIBAINIKA UTAONDOLEWA .

Mungu Ibariki Chadema

JamiiForums753274111.jpeg
 
waeleze tu bayana ratiba ya kupokea virungu vya mbwa koko January 24 , chagua kituo ama stakishari au mabatini 🐒
Watanzania wote wanafahamu na kimsingi wamekubali kushiriki kikamilifu Maandamano hayo ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA , ili kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa bungeni.

Awali Katibu Mkuu wa Chadema alieleza kwamba maandamano hayo yataanzia Mbezi na Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za UN , ambako inatarajiwa yatapokelewa na Maofisa wa UN kwa niamba ya Katibu Mkuu wa UN (zipo tetesi kwamba huenda Katibu Mkuu wa UN akaingia Tanzania ili kupokea maandamano hayo)

Sasa kwa Washiriki wa Maandamano , wanafikaje Mbezi na Buguruni ? ni Saa ngapi hasa wanatakiwa kufika ? Wanapokelewa na nani ? wanaelekezwa na nani ? na ni Buguruni ipi au Mbezi ipi ?

Kwa Majibu ya maswali haya na mengine na kwa mwongozo ulionyooka kuelekea maandamano haya ya Amani endelea kubaki hapa hapa JF .

Tunaweka kila kitu mapema kwa vile siku ya maandamano hatutakua na muda wa kuandika chochote

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2879436
 
Watanzania wote wanafahamu na kimsingi wamekubali kushiriki kikamilifu Maandamano hayo ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA , ili kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa bungeni.

Awali Katibu Mkuu wa Chadema alieleza kwamba maandamano hayo yataanzia Mbezi na Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za UN , ambako inatarajiwa yatapokelewa na Maofisa wa UN kwa niaba ya Katibu Mkuu wa UN (zipo tetesi kwamba huenda Katibu Mkuu wa UN akaingia Tanzania ili kupokea maandamano hayo)

Sasa kwa Washiriki wa Maandamano , wanafikaje Mbezi na Buguruni ? ni Saa ngapi hasa wanatakiwa kufika ? Wanapokelewa na nani ? wanaelekezwa na nani ? na ni Buguruni ipi au Mbezi ipi ?

Kwa Majibu ya maswali haya na mengine na kwa mwongozo ulionyooka kuelekea maandamano haya ya Amani endelea kubaki hapa hapa JF .

Tunaweka kila kitu mapema kwa vile siku ya maandamano hatutakua na muda wa kuandika chochote

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2879436
Kwa Majibu ya maswali haya na mengine na kwa mwongozo ulionyooka kuelekea maandamano haya ya Amani endelea kubaki hapa hapa JF .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana usafiiiii tumejiandaaa vya kutoshaaaa. Tunawakaribishaaa mapemaaaaaaaa muwahi msiseme mvua mkagoma kuja...
 
Vitu vya kuja navyo kwenye usafiii sikuuhio

fagio
Maji ya kujisafisha ukichafuka na maji machafu
Njooo na bendeji..spirit na vitambaaa vya kufutia uchafu ukidondoka gafla
Hakikishaa una I'd yako yenye jina lako ukidondoka ndugu zako wajulishwe uko hospt ipi ya segerea
Keko
Hakiki haliyako ya afya iko sawa asilimia 💯 hasa kwenye mkimbizako maana tutafagia na kudeki kwa speed ya tehama

Mengineyo ntawajuza badaae
 
Tutolee uwendawazimu wako hapa.
Uwendawazimu wake unatokana na nn?
Isijeikawa wewe ndiyo mwendawazimu unayevumilia mgao wa umeme huku mito imefurika maji?
Wewe usiyemwendawazimu unayekubali kununua sukari 5000/= huku ukitumbuizwa na ngonjera za wowowo za mwenezi makonda
 
HUKU MTAANI KILA MTU UKIMUULIZA MCHANA ANASEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI ILA BAADAE UKIMFATA ANAKUAMBIA BORA TUWEKE GOGO IKULU

SHAMRASHAMRA ZA MAANDAMANO CHADEMA ATATUHESHIMISHA😍😍😍
 
TUSHANUNUA SARE WATU WANALALAMIKA SARE ZIMEKUWA CHACHE😍😍😍HAKIKA NI JAMBO JEMA.
MAMA KIZMKAZI KAITWA APEWE ONYO AACHE WATU WAANDAMANE NI HAKI YAO.
 
MHESHIMIWA CHALAMILA KAFURAHISHWA NA UZALLENDO WA CHADEMA KUHITAJI KUSAIDIA KUFANYA USAFI😍😍KAIMWAGIA SIFA KEDEKEDE HAKIKA CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU
 
Vitu vya kuja navyo kwenye usafiii sikuuhio

fagio
Maji ya kujisafisha ukichafuka na maji machafu
Njooo na bendeji..spirit na vitambaaa vya kufutia uchafu ukidondoka gafla
Hakikishaa una I'd yako yenye jina lako ukidondoka ndugu zako wajulishwe uko hospt ipi ya segerea
Keko
Hakiki haliyako ya afya iko sawa asilimia 💯 hasa kwenye mkimbizako maana tutafagia na kudeki kwa speed ya tehama

Mengineyo ntawajuza badaae
Unaonekana umejaza usaha kichwani buna tofauti na punguwani huoni hata aibu? Sasa uchafu gani huu ulouandika?
 
Vitu vya kuja navyo kwenye usafiii sikuuhio

fagio
Maji ya kujisafisha ukichafuka na maji machafu
Njooo na bendeji..spirit na vitambaaa vya kufutia uchafu ukidondoka gafla
Hakikishaa una I'd yako yenye jina lako ukidondoka ndugu zako wajulishwe uko hospt ipi ya segerea
Keko
Hakiki haliyako ya afya iko sawa asilimia 💯 hasa kwenye mkimbizako maana tutafagia na kudeki kwa speed ya tehama

Mengineyo ntawajuza badaae
HAKUNA ATAYETHUBUTU ZILIZOTUFIKIA MAMA KAAMBIWA ATULIE KAMA HAONI.YAANI HAKUNA KIMA ATAYETHUBUTU NA ULINZI TAYARI UMEANDALIWA WA KUTOSHA. HAKIKA CHADEMA NI CHAGUO LA WATANZANIA WOTE WENYE KIU YA MAENDELEO
 
Back
Top Bottom