Video: Makonda alivyoingia na Mkokoteni wilayani Hai

Mbowe na genge lako hv ndivyo wanzio wanavyoteka akili za watz wapumbavu sio ww kaz kupiga umbea tu usio na tija ooh tume huru wakati ww mwenyewe unashindwa kuachia kiti,,, hapa nimechokoza team chadome ngoja niangalie pakujificha mana huwaambii kitu kuhusu mkubwa wao
 
Avatar na jina lako atakae bishana na wewe mjinga tu😂😂
 
Huyo ndiye mwamba mwenyewe Paul Christian Makonda . kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na Rais wetu kuanzia 2030.

Saizi CHADEMA hata wakisikia sauti yake kwenye redio wanatimua mbio kali kama nyumbu bila kuangalia nyuma au kugeuka
 
Acha UPUMBAVU wako, unawangusha sana vijana wa Mbeya na Songwe kwa namna ambavyo huwezi kupima vitu vya kushabikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom