Askofu Gwajima ahofia Halima Mdee kuutaka tena Ubunge wa Kawe ila hajasema kwa Chama gani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,007
Akikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jimboni Kawe mh Gwajima ameshangaa mbunge wa zamani Halima Mdee kwa miaka 15 alikuwa anafanya Kazi gani

Dr Gwajima anasema Halima Mdee hajafanya lolote Kawe lakini bado anasema anataka tena Ubunge wa Kawe

Gwajima amewataka Wananchi wa Kawe kumpuuza kabisa Halima James Mdee

My take; Mdee anawasumbua CCM na Chadema
 
CDM hawana time naye
 
Askofu asiwe na hofu kuhusu Halima maana hakuna mwananchi mpumbavu atampigia kura msaliti mwenye tamaa ya fedha hata agombee kupitia chama chochote.
 
Akikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jimboni Kawe mh Gwajima ameshangaa mbunge wa zamani Halima Mdee kwa miaka 15 alikuwa anafanya Kazi gani

Dr Gwajima anasema Halima Mdee hajafanya lolote Kawe lakini bado anasema anataka tena Ubunge wa Kawe

Gwajima amewataka Wananchi wa Kawe kumpuuza kabisa Halima James Mdee

My take; Mdee anawasumbua CCM na Chadema
aende act wazalendo
 
Kat

Ika wale vijana aliowaahidi kuwapeleka USA amepeleka wangapi mpaka sasa?
Katika zile boat za kisasa za uvuvi alizoahidi kununua amenunua ngapi
 
Back
Top Bottom