Dkt. Mhagama: Sheria za Uchaguzi zinazotungwa hazitazingatia maandamano yanayoendelea

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa tayari maoni hayo yameshapokelewa na kupelekwa Bungeni na kamati yake inaendelea kuyachakata.

Amesema “Hali ni tofauti na baadhi ya Wadau wengine wanavyodhani wakiwemo CHADEMA, Sheria za Uchaguzi zinazotungwa na Sheria za Uchaguzi zinazofanyiwa marekebisho hazitazingatia maandamano yanayoendelea au yaliyopangwa, zitazingatia maoni ya Wadau waliofika mbele ya Kamati za Bunge na kwa nafasi hiyo maana yake ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.

“Kanuni ya 77 Kanuni Ndogo ya Pili na Kanuni ya 136 Kanuni ndogo ya 9 ya Kanuni ndogo za Bunge Toleo la Mwaka 2023, inataka baada ya Serikali kuwasilisha Miswada Bungeni, Bunge linazipeleka kwenye Kamati mahususi Miswada hiyo na pia inawaalika Wadau wote wenye maslahi na miswada hiyo ya Sheria kuja mbele ya Kamati kulishauri au kuisaidia Kamati kuhusu hoja mbalimbali zilizopo kwenye miswada.

“Kwa kuzingatia hilo, Spika alitoa Tangazo akaita Wadau, Muswada huu ulipata mwitikio mkubwa, Wadau walioshiriki kwa siku nne ni 1,707 zikiwemo Asasi za Kiraia zaidi ya 400, Viongozi Wakuu wa Dini na CHADEMA pia walikuja kupitia BAWACHA, Umoja wa Vijana (BAVICHA) na Katibu Mkuu John Mnyika.

“Tumeshangazwa na maamuzi ya chama kimoja kati ya vyama 13 vilivyokuja kutoa maoni kuna na maazimio ya kufanya maandamano.

“Pia Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA wanajua utaratibu wa utungwaji wa Sheria, Miswada imeshatoka Serikalini na ipo Bungeni, Bunge ndilo lenye mamlaka ya kutunga Sheria, wanajua Bunge halipokei maoni kiholela.

“Bunge lina wawakilishi wa Watanzania wote, Bunge ndilo litajadili kifungu kwa kifungu, kipi kipite na kipi kisipite, wanachokifanya kwa sasa ni kuwavuruga Watanzania kutaka kulivuruga Bunge lisitekeleze wajibu wake, wanachokifanya ni kama kuwadharau watu wote waliotoa maoni mbele ya Kamati, kwamba maoni yao ni bora kuliko maoni mengine ya wote.
 
Sheria za uchaguzi zinazotungwa na Sheria za Uchaguzi zinazofanyiwa marekebisho zitazingatia maoni ya Wadau waliofika mbele ya Kamati za Bunge ambayo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba.

“Kanuni zinataka kuwa baada ya Serikali kupeleka Miswada bungeni, Bunge linazipeleka kwenye Kamati mahususi Miswada hiyo lakini pia inawaalika Wadau wote wenye maslahi na miswada hiyo ya Sheria kuja mbele ya Kamati kulishauri au kuisaidia Kamati kuhusu hoja mbalimbali zilizopo kwenye miswada.
Hii ni habari njema sana, kuwa sheria zitazingatia maoni ya wadau, hoja zinazoandamaniwa ni maoni ya wengi waliofika mbele ya kamati.

Kwavile kamati ya Bunge inajadili kile tuu kilicholetwa mbele yake na serikali, na hakuna hoja yoyote ya minimum reform ya katiba imeletwa Bungeni, hoja za maandamano ni kuhusu katiba, hivyo mjibu maadamano ni Rais Samia na sio yeye, sio Bunge, sio sheria, ni serikali kuhusu katiba.

Kamati yake iendelee na mchakato, na maadamano yaendelee na hoja zake.
P
 
Hil
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa tayari maoni hayo yameshapokelewa na kupelekwa Bungeni na kamati yake inaendelea kuyachakata.

Sheria za uchaguzi zinazotungwa na Sheria za Uchaguzi zinazofanyiwa marekebisho hazitazingatia maandamano yanayoendelea au yaliyopangwa bali zitazingatia maoni ya Wadau waliofika mbele ya Kamati za Bunge ambayo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba.

“Kanuni zinataka kuwa baada ya Serikali kupeleka Miswada bungeni, Bunge linazipeleka kwenye Kamati mahususi Miswada hiyo lakini pia inawaalika Wadau wote wenye maslahi na miswada hiyo ya Sheria kuja mbele ya Kamati kulishauri au kuisaidia Kamati kuhusu hoja mbalimbali zilizopo kwenye miswada.

i nalo bumunda tu, takataka lingine hilo hapo.
 
Mbona Wana panic dakika za mwisho. Si walisema watatumia jeshi kuzuia maandamano?
Tayari vitengo vimeshazungumza na Wajasiriamali wa Siasa biashara kwa zaid ya saa 3 kuhusu namna bora ya kufanya hili igizo

hata watawala wanahitaji picha za maandamano kuchukulia misaada kimataifa wakionesha jinsi wanavyolea Demokrasia kama ambavyo na wenzetu wanatumia hayo hayo maandamano kupata pesa za uratibu kutoka nje ya Nchi

kila mtu apige hisabu zake kwa maslahi yake

ukihisi utafaidika na maandamano nenda, ukiona huna faida achana nayo

mie huwa nafaidika na yale maandamano ya nginja nginja maana huwa nanufaika kupitia ki pharmacy changu uchwara nilichokiegesha pembeni mwa moja ya Hospital moja kubwa hapa jijini
 
Hii ni habari njema sana, kuwa sheria zitazingatia maoni ya wadau, hoja zinazoandamaniwa ni maoni ya wengi waliofika mbele ya kamati.

Kwavile kamati ya Bunge inajadili kile tuu kilicholetwa mbele yake na serikali, na hakuna hoja yoyote ya minimum reform ya katiba imeletwa Bungeni, hoja za maandamano ni kuhusu katiba, hivyo mjibu maadamano ni Rais Samia na sio yeye, sio Bunge, sio sheria, ni serikali kuhusu katiba.

Kamati yake iendelee na mchakato, na maadamano yaendelee na hoja zake.
P
Haya ni maigizo tupu
 
Kumbe wewe ni interlecture n na pia ni genius ila huwa saa nyingine unajitoa ufahamu tu makusudi
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa tayari maoni hayo yameshapokelewa na kupelekwa Bungeni na kamati yake inaendelea kuyachakata.

Amesema “Hali ni tofauti na baadhi ya Wadau wengine wanavyodhani wakiwemo CHADEMA, Sheria za Uchaguzi zinazotungwa na Sheria za Uchaguzi zinazofanyiwa marekebisho hazitazingatia maandamano yanayoendelea au yaliyopangwa, zitazingatia maoni ya Wadau waliofika mbele ya Kamati za Bunge na kwa nafasi hiyo maana yake ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.

“Kanuni ya 77 Kanuni Ndogo ya Pili na Kanuni ya 136 Kanuni ndogo ya 9 ya Kanuni ndogo za Bunge Toleo la Mwaka 2023, inataka baada ya Serikali kuwasilisha Miswada Bungeni, Bunge linazipeleka kwenye Kamati mahususi Miswada hiyo na pia inawaalika Wadau wote wenye maslahi na miswada hiyo ya Sheria kuja mbele ya Kamati kulishauri au kuisaidia Kamati kuhusu hoja mbalimbali zilizopo kwenye miswada.

“Kwa kuzingatia hilo, Spika alitoa Tangazo akaita Wadau, Muswada huu ulipata mwitikio mkubwa, Wadau walioshiriki kwa siku nne ni 1,707 zikiwemo Asasi za Kiraia zaidi ya 400, Viongozi Wakuu wa Dini na CHADEMA pia walikuja kupitia BAWACHA, Umoja wa Vijana (BAVICHA) na Katibu Mkuu John Mnyika.

“Tumeshangazwa na maamuzi ya chama kimoja kati ya vyama 13 vilivyokuja kutoa maoni kuna na maazimio ya kufanya maandamano.

“Pia Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA wanajua utaratibu wa utungwaji wa Sheria, Miswada imeshatoka Serikalini na ipo Bungeni, Bunge ndilo lenye mamlaka ya kutunga Sheria, wanajua Bunge halipokei maoni kiholela.

“Bunge lina wawakilishi wa Watanzania wote, Bunge ndilo litajadili kifungu kwa kifungu, kipi kipite na kipi kisipite, wanachokifanya kwa sasa ni kuwavuruga Watanzania kutaka kulivuruga Bunge lisitekeleze wajibu wake, wanachokifanya ni kama kuwadharau watu wote waliotoa maoni mbele ya Kamati, kwamba maoni yao ni bora kuliko maoni mengine ya wote.
Sikuzote mabadiliko hayafanyiki siasa nyingi kuliko utekelezaj
 
Siku yako inakuja tena ii karibu kufika,pale ambapo utakutana uso kwa uso na muumbaji wa mbingu na dunia kwa ajili ya hukumu itakayotokana na kukiuka haki ya watu wa Mungu aliyewaumba kwa mkono wake mwenyewe. Itakuwa ni kilio na kusaga meno kwako wewe unayejiita mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusiana na katiba. Ole wako nasema ole wako. Tubu kwa Mungu na urejee kwenye kutenda haki kuliokoa taifa hili alilolifanya Mungu Jehova. Nimefunga na kuomba kwa ajili ya jambo hili na ujumbe na sauti ya Mungu inakutaja kutibu na kuacha mara kuandaa mazingira ya kuwaumiza wanadamu walioumbwa na Mungu nakupangiwa kuishi ktk ardhi hii inayoitwa Tanzania. Nasema tena Ole ni wako Mr. Mhagama.
 
Bunge hili sio halali, ni bunge lililotokana na uchaguzi uliovurugwa.

Haliwakilishi wananchi, ni bunge la ccm.

Tume inayokusanya maoni ni ya ccm inakitumikua chama.

Unategemea nini hapo, tangu awali hakukuwa na imani, yeye anataka watu waamini tu, kwamba outcome itakuwa ya kuridhisha.

Maoni yangechakatwa na bunge huru la katiba, siyo bunge la ccm.
 
Siku yako inakuja tena ii karibu kufika,pale ambapo utakutana uso kwa uso na muumbaji wa mbingu na dunia kwa ajili ya hukumu itakayotokana na kukiuka haki ya watu wa Mungu aliyewaumba kwa mkono wake mwenyewe. Itakuwa ni kilio na kusaga meno kwako wewe unayejiita mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusiana na katiba. Ole wako nasema ole wako. Tubu kwa Mungu na urejee kwenye kutenda haki kuliokoa taifa hili alilolifanya Mungu Jehova. Nimefunga na kuomba kwa ajili ya jambo hili na ujumbe na sauti ya Mungu inakutaja kutibu na kuacha mara kuandaa mazingira ya kuwaumiza wanadamu walioumbwa na Mungu nakupangiwa kuishi ktk ardhi hii inayoitwa Tanzania. Nasema tena Ole ni wako Mr. Mhagama.
Mwenyekiti wa Bunge yeye hana makosa anacholetewa yeye ndicho anachochakata rubish in rubish out
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa tayari maoni hayo yameshapokelewa na kupelekwa Bungeni na kamati yake inaendelea kuyachakata.

Amesema “Hali ni tofauti na baadhi ya Wadau wengine wanavyodhani wakiwemo CHADEMA, Sheria za Uchaguzi zinazotungwa na Sheria za Uchaguzi zinazofanyiwa marekebisho hazitazingatia maandamano yanayoendelea au yaliyopangwa, zitazingatia maoni ya Wadau waliofika mbele ya Kamati za Bunge na kwa nafasi hiyo maana yake ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.

“Kanuni ya 77 Kanuni Ndogo ya Pili na Kanuni ya 136 Kanuni ndogo ya 9 ya Kanuni ndogo za Bunge Toleo la Mwaka 2023, inataka baada ya Serikali kuwasilisha Miswada Bungeni, Bunge linazipeleka kwenye Kamati mahususi Miswada hiyo na pia inawaalika Wadau wote wenye maslahi na miswada hiyo ya Sheria kuja mbele ya Kamati kulishauri au kuisaidia Kamati kuhusu hoja mbalimbali zilizopo kwenye miswada.

“Kwa kuzingatia hilo, Spika alitoa Tangazo akaita Wadau, Muswada huu ulipata mwitikio mkubwa, Wadau walioshiriki kwa siku nne ni 1,707 zikiwemo Asasi za Kiraia zaidi ya 400, Viongozi Wakuu wa Dini na CHADEMA pia walikuja kupitia BAWACHA, Umoja wa Vijana (BAVICHA) na Katibu Mkuu John Mnyika.

“Tumeshangazwa na maamuzi ya chama kimoja kati ya vyama 13 vilivyokuja kutoa maoni kuna na maazimio ya kufanya maandamano.

“Pia Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA wanajua utaratibu wa utungwaji wa Sheria, Miswada imeshatoka Serikalini na ipo Bungeni, Bunge ndilo lenye mamlaka ya kutunga Sheria, wanajua Bunge halipokei maoni kiholela.

“Bunge lina wawakilishi wa Watanzania wote, Bunge ndilo litajadili kifungu kwa kifungu, kipi kipite na kipi kisipite, wanachokifanya kwa sasa ni kuwavuruga Watanzania kutaka kulivuruga Bunge lisitekeleze wajibu wake, wanachokifanya ni kama kuwadharau watu wote waliotoa maoni mbele ya Kamati, kwamba maoni yao ni bora kuliko maoni mengine ya wote.
Huyu Mbunge anapenda kuonesha kuwa ana hoja lakini si jukumu lake kukataza wala kushauri, akiwa nje ya Bunge, jinsi Vyama vya siasa vinavyotaka kuwahusisha wananchi kwenye hoja za kisiasa. Kwani maridhiano ya 4 R za SSH si mbinu tu ya kisiasa, tumshukuru Rais kwa lipi ambalo karidhiana? Kuruhusu Vyama vya siasa vifanye kazi zao iko kwenye Katiba ya sasa. Akitaka kuivunja uamuzi huo afanye uamuzi wake utahukumiwa kisiasa! Aidha huyu Mbunge anatueleza kuhusu Bunge hilo kama vile lina uhalali usiotiliwa mashaka na kwamba una uwezo wa kuisahihisha Serikali kwa hiyo wananchi waliamini Bunge. Ana uhakika kuwa Watanzania wanaojitambua wana imani na hilo Bunge? Hapo Mbunge unakuwa hakimu wa jambo linalomhusu. Sijui kama shule yake inamwezesha kutambua huo mgongano wa maslahi. Awaache wananchi wajieleze kama wanavyotaka ili mradi hawavunji sheria.
 
Mwenyekiti wa Bunge yeye hana makosa anacholetewa yeye ndicho anachochakata rubish in rubish

Mwenyekiti wa Bunge yeye hana makosa anacholetewa yeye ndicho anachochakata rubish in rubish out
Na asiyejua kilichopangwa, kinachoendelea na kitakachotokea! Ole ni wake yeye anayetumika kutekeleza maagizo ya kuzuia haki iliyowekwa na Mungu mwenyewe. Acha kujitoa ufahamu ndugu. Hukumu juu ya hili ipo na inakuja.
 
Back
Top Bottom