Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuelekea maandamano ya kesho kutwa huku tayari maandalizi ya kuwakumbusha mamilioni ya wazalendo yamekamilika. Tunavyosemaga kuwa CDM ni mpango wa Mungu kuja kuwakomboa Watanzania muwe mnaelewa...
24 Reactions
131 Replies
7K Views
Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini...
0 Reactions
6 Replies
515 Views
Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo...
4 Reactions
11 Replies
738 Views
Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa. Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati...
18 Reactions
175 Replies
16K Views
ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA KATIKA JAMHURI YA INDONESIA TAREHE 24-26 JANUARI 2024 Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba kuelezea ziara za Dkt...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa...
4 Reactions
32 Replies
20K Views
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia BAWACHA Bi UPENDO PENEZA akihojiwa katika kipindi cha STAR TV cha vijana na siasa tarehe 17/11/2014 kasema kuwa TAJIRI SABODO alitoa mamilioni ya hela...
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa...
1 Reactions
6 Replies
758 Views
It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya...
3 Reactions
12 Replies
786 Views
Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali. Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi. Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Report ya utapeli mitandaoni iliyotolewa na TCRA inaonyesha Rukwa na Morogoro wana matapeli wengi sana wa mitandaoni. Inakuaje mkoa ambao una watu wachache kuliko DSM unakua na matapeli wengi...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama...
15 Reactions
101 Replies
6K Views
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom