Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema?

Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli?

Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika.

Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa kufanya nini nchini baadaye ukaja kujua si kweli?
 
Kwa UDOM ukiwa na kadi ya chama tawala inakusaidia kupata nafasi ya kugombea uongozi wa chuo. Na ndivyo ilivyo!
 
Back
Top Bottom