Huko mbele tutakuja kugundua Komredi Polepole aliifanyia Kazi kubwa CCM, Ubunifu na Mbinu zake ndio zinatumika sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Kwa wanaofuatilia Siasa za CCM wataelewa ninachosema

Shaka na Mjema waliachana na Ubunifu wa Komredi Polepole wakafeli na kutumbuliwa lakini Komredi Makonda anazitumia na anafanikiwa Sana

Hata Daktari Nchimbi namuona kwa mbali akitembea na mazuri ya Dkt Bashiru

Kwa kurejea Yeriko CCM tutegemee Ushindi wa sunami 😂😂

Kwako Salary slip, Chadema mikocheni!
 
Back
Top Bottom