Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe.
Wasiohusika...
Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya...
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi...
Hivi kweli mwanachama wa CCM uliye na akili timamu unaweza kukusanywa namna hii na kuelezwa uongo wa kitoto kama Juha?
Kwanini mnakubali kudhalilishwa namna hii na huyo Katibu wenu itikadi...
Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa...
Habari za muda huu Wakuu,
Sote tumeshuhudia video mbalimbali za uharibifu wa makazi ya watu Jijini Dar baada ya ile mvua ya juzi, ambapo tulitegemea kuwa vikosi vya uokozi katika majanga na...
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za...
Tumesikia matamko huko Mwanza, Dar na kwingineko Viongozi wa Machinga na bodaboda kadhaa wakitoa tamko kuwa wao habari za maandamano hawazitaki na kuwa wanaunga mkono serikali na "juhudi" zake...
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga...
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es...
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo...
Hakuna kitu kibaya cha kuzuia zuia uhuru wa watu wenye mawazo mbadala kwani ni mara chache sana ndani ya serikali kujua vitu hasi kwani watendaji huona kama ni uzembe wao kwa mamlaka...hii zuia...
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.
Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge...
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema " mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali"
Askofu...
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa...
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama...
Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi!
Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.