Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=BTFeRepAxVg Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Viwanja vya Makazi ya Rais (Bogor Presidential Palace) Jijini Jakarta, Indonesia na kupokelewa na mwenyeji...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa...
1 Reactions
2 Replies
582 Views
Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote 1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe 2. Tuliambiwa watoto wao nao...
40 Reactions
80 Replies
6K Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada...
17 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii NCHI ina Watu Wajinga sana na ndio maana HAYATI Baba wa Taifa Aliutaja UJINGA kama ADUI wa Nchi hii kwani ALIJUA kuna WAJINGA WENGI. Kutokana na VIONGOZI WETU kulijua hilo Wamekuwa Wakiutumia...
5 Reactions
4 Replies
893 Views
Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka. Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa. Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago. Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Niwapongeze CHADEMA kwa kuandaa maandamano haya muhimu. Mimi huwa nadeclare interest mara zote kwamba ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Sijawahi kuwa nje ya chama hiki asilani. Lakini kuna...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Poleni sana wana Mbarali, Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo. Hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Wasalaam, Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa...
16 Reactions
39 Replies
4K Views
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund. Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba. Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Natambua kuna sheria ya Uraia inayoniruhusu mimi kama RAIA wa Tanzania kuukataa uraia wangu wa Tanzania na kuwa RAIA wa nchi nyingine niipendayo. Natambua kwamba katiba ya JMT na sheria za Ardhi...
11 Reactions
58 Replies
5K Views
Haya maandamano yaliyofanyika, utulivu ulionekana na mashirikiano chanya yaliyowekwa na Jeshi la Polisi ni wazi kwa miaka mingi wanasiasa wa CCM wamekuwa wakitumia jeshi la Polisi vibaya kudhibiti...
15 Reactions
10 Replies
1K Views
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho...
10 Reactions
150 Replies
8K Views
Back
Top Bottom