On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,605
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF,

Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili:

Kwenye bandiko hilo nikakutana na kitu cha ajabu sana ambacho sio kitu kawaida, JF ilikuwa inarusha live ziara ya Rais Samia toka nchini Indonesia!

Kwa uzoefu wangu kwenye media, kila rais wetu akifanya ziara yoyote ya kiserikali nchi ya nchi, zaidi ya kuandamana na media team yake ile ya Ikulu Mawasiliano ambayo wanarusha live stream, na sometimes or most times anaandamana na baadhi ya mainstream media, mara nyingi, Government Media, Maelezo na Daily News, public media, TBC na sometimes wanajumuisha some private media, hivyo kwenye ziara hii naamini media team yetu ipo.

Baada ya kuiona hii live ya JF ya ziara hiyo, nikafungulia TBC, nikakuta hakuna, nikatembelea local mainstream TV channels zetu, hakuna kitu! Mimi ni subscriber wa Ikulu Mawasiliano, nikakuta hakuna kitu! This means aliyetangulia kutuletea live ya ziara hii ni JF pekee! This is not a small thing!

Hii maana yake licha ya JF kuwa ni mtandao wa kijamii tuu, wenye ile JF spirit ya "Be The First to Know" hivyo kwenye ziara hii ya Rais Samia nchini Indonesia, then ni JF ndio imefunga kazi kwa kuwa media ya kwanza kuitangaza ziara hii, kuwatangazia Watanzania kuhusu ziara hii, hivyo jf imethibitisha ni zaidi ya mainstream media zote, yaani JF ni zaidi ya TV zote, JF ni zaidi ya Redio zote, JF ni zaidi ya Magazeti yote na JF ni zaidi ya Online Media zetu zote, hili sio jambo dogo!

Ukisikia JF kwa maslahi ya taifa, hii sasa ndio maslahi ya Taifa.

Hongera sana Mkuu Maxence Melo
Hongera JF menejimenti & staff
Hongera sisi wana Jf wenyewe

Paskali
 
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia jf,

Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya Indonesia, leo Januari 25, 2024
View: https://www.youtube.com/live/BTFeRepAxVg?si=G1uU6s-hlaDk8LFb

Kwenye bandiko hilo nikakutana na kitu cha ajabu sana ambacho sio kitu kawaida, JF ilikuwa inarusha live ziara ya Rais Samia toka nchini Indonesia!.

Kwa uzoefu wangu kwenye media, kila rais wetu akifanya ziara yoyote ya kiserikali nchi ya nchi, zaidi ya kuandamana na media team yake ile ya Ikulu Mawasiliano ambayo wanarusha live stream, na sometimes or most times anaandamana na baadhi ya mainstream media, mara nyingi, Government Media, Maelezo na Daily News, public media, TBC na sometimes wanajumuisha some private media, hivyo kwenye ziara hii naamini media team yetu ipo.

Baada ya kuiona hii live ya JF ya ziara hiyo, nikafungulia TBC, nikakuta hakuna, nikatembelea local mainstream TV channels zetu, hakuna kitu!. Mimi ni subscriber wa Ikulu Mawasiliano, nikakuta hakuna kitu!. This means aliyetangulia kutuletea live ya ziara hii ni JF pekee!. This is not a small thing!.

Hii maana yake licha ya JF kuwa ni mtandao wa kijamii tuu, wenye ile JF spirit ya "Be The First to Know" hivyo kwenye ziara hii ya Rais Samia nchini Indonesia, then ni JF ndio imefunga kazi kwa kuwa media ya kwanza kuitangaza ziara hii, kuwatangazia Watanzania kuhusu ziara hii, hivyo jf imethibitisha ni zaidi ya mainstream media zote, yaani
JF ni zaidi ya TV zote, JF ni zaidi ya Redio zote, JF ni zaidi ya Magazeti yote na JF ni zaidi ya Online Media zetu zote, hili sio jambo dogo!.

Ikulu Mawasiliano sasa wame join
View: https://www.youtube.com/live/POO3JXIFrAo?si=pqPCmxr4ueAGR4dd
P
 
Yaani haumuelewi Roving Journalist ni nani au unaleta utani?
Mkuu Dada yangu FaizaFoxy , I swear upon God, sikuwahi kumfahamu, ila kitendo cha kuwepo huko na kuripotia if kutokea huko, now I think I know something!, naomba usiongeze neno hapa tukajikuta tumekiuka kanuni ya jf ya name calling, all in all, JF is doing a good job kwa maslahi ya taifa.
P
 
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia jf,

Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya Indonesia, leo Januari 25, 2024
View: https://www.youtube.com/live/BTFeRepAxVg?si=G1uU6s-hlaDk8LFb

Kwenye bandiko hilo nikakutana na kitu cha ajabu sana ambacho sio kitu kawaida, JF ilikuwa inarusha live ziara ya Rais Samia toka nchini Indonesia!.

Kwa uzoefu wangu kwenye media, kila rais wetu akifanya ziara yoyote ya kiserikali nchi ya nchi, zaidi ya kuandamana na media team yake ile ya Ikulu Mawasiliano ambayo wanarusha live stream, na sometimes or most times anaandamana na baadhi ya mainstream media, mara nyingi, Government Media, Maelezo na Daily News, public media, TBC na sometimes wanajumuisha some private media, hivyo kwenye ziara hii naamini media team yetu ipo.

Baada ya kuiona hii live ya JF ya ziara hiyo, nikafungulia TBC, nikakuta hakuna, nikatembelea local mainstream TV channels zetu, hakuna kitu!. Mimi ni subscriber wa Ikulu Mawasiliano, nikakuta hakuna kitu!. This means aliyetangulia kutuletea live ya ziara hii ni JF pekee!. This is not a small thing!.

Hii maana yake licha ya JF kuwa ni mtandao wa kijamii tuu, wenye ile JF spirit ya "Be The First to Know" hivyo kwenye ziara hii ya Rais Samia nchini Indonesia, then ni JF ndio imefunga kazi kwa kuwa media ya kwanza kuitangaza ziara hii, kuwatangazia Watanzania kuhusu ziara hii, hivyo jf imethibitisha ni zaidi ya mainstream media zote, yaani
JF ni zaidi ya TV zote, JF ni zaidi ya Redio zote, JF ni zaidi ya Magazeti yote na JF ni zaidi ya Online Media zetu zote, hili sio jambo dogo!.

Ukisikia JF kwa maslahi ya taifa, hii sasa ndio maslahi ya Taifa.

Hongera sana Mkuu Maxence Melo
Hongera JF menejimenti & staff
Hongera sisi wana Jf wenyewe

Paskali

Jf tuko vizuri sana
 
Hakika kabisa !
Jf inaogopewa na pia ni msaada mkubwa kwa wakati huo huo!
I am sure huwa inasolve mambo mengi ambayo huwa yanashindikana kupatiwa solution kwa akili za kawaida !! 🙏🙏
 
Naipenda na kuikubali sana tena sana jamii forum .mimi hata niwe shambani huwa ni lazima niweke kwanza jembe chini ili kuangalia na kuchungulia kidogo kinachoendelea hapa nchini kupitia JF .maana najuwa hapa ni mahali pekee unapoweza kupata taarifa za kila aina kutoka kila pembe ya Dunia. Kikubwa wale wanaopenda kutukana sana matusi waache kufanya hivyo maana wanakuwa wanachafua taswira nzuri ya mtandao huu unaofuatiliwa na watu wengi. maana watu wanaojiheshimu hawawezi kupenda kusoma matusi ya nguoni yanayotolewa na baadhi ya wanajukwaa.
 
Hakuna matusi makubwa kama kupora chaguzi za nchi. Mtu anaingia madarakani kwa kutusi uchaguzi, kisha anataka apate heshima kupitia madaraka aliyoyapata kwa njia za kihayawani!
 
Back
Top Bottom