ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,744
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa. Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.
Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia sakata la mabehewa na vichwa vya treni kutofikishwa Kwa wakati kulingana na mkataba ambao TRC na EuroWagon walisainiana mwaka 2020.
EuroWagon wanadai walipwe fidia Kwa kuvunjiwa mkataba wakati tayari walishanunua mabehewa na vichwa vya treni pamoja na gharama zingine za urekebishaji.TRC walivunja mkataba na kampuni hiyo Kwa kuchelewesha delivery.
EuroWagon wanasema wasipofikia muafaka na TRC Hadi January hii watalazimika kuchukua hatua zingine za kisheria.
View: https://www.instagram.com/p/C2fLTiVIdG5/?igsh=MWV4ZnI1eDVuNTljYg==
Swali.
Napenda kufahamu,Je wanasheria Wetu Huwa hawawezi kujua potential risks kabla ya maamuzi yeyote ikiwemo Kuvunja mkataba au kusaini contract bila kuwa na vipengele vya kujiondoa Wakiwa salama?
View: https://www.instagram.com/p/C2ekP3utaJF/?igsh=NGgwZTFzMmJjdXV1
My Take
Tumechoka kulipa mabilioni ya Kodi zetu Kwa uzembe wa watu wasiowajibika,hatua zinaze kuchukuliwa.