Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Salaam ndugu zangu, Aisee kumekuwa na tabia ya viongozi wa Mitaa mbalimbali kugeuza shida za Wananchi kama miradi yao ya kujipatia pesa. Mpaka sasa kwa hapa Dar es Salaam nimeishi mitaa mitatu...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano. Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema. Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea. Kwa jambo hili Rais...
4 Reactions
12 Replies
866 Views
Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika. System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo Kwenye mitandao ya kijamii...
7 Reactions
5 Replies
831 Views
Nadhani hawatapiga tena mkwara wa kuandamana. Faida ya maandamano ya upinzani ni uyatangaze halafu yakataliwe ili muanzishe MTITI na gavamenti sojaaz. MTITI unafaida sana ukipeleka picha za...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa. Kabla ya kufika...
0 Reactions
4 Replies
566 Views
The Flop of Tanzania's Chadema Party Public Demonstrations: A Detailed Assessment of the Political Landscape Mmusi Mosimane Nthuli Today January 24th 2024, a pivotal political episode unfolded...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nadhani muda umefika tufikishane kwenye vyombo vya sheria. Hii migao ya umeme haijaanza leo. Hili tatizo lipo kila mwaka na sababu zinazotolewaga ni zile zile. Kusudio langu halihusu kuhoji...
2 Reactions
6 Replies
690 Views
Tumeona namna viongozi wa CCM waivyotofautiana kwenye majukwaa kuhusu maandamano. Finally Chadema wamefanikiwa lengo lao na hivyo yawezekana kabisa kamati Kuu ya chadema ina mikakati mingi isiyo...
5 Reactions
3 Replies
718 Views
Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA 6 January 2024 Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
.Wahoji ushawishi wao ulipoishia .Wasifu Uamuzi wa serikali kutoyaingilia Na James Mtokambali Zikiwa zimepita siku 11 tokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,Freeman Mbowe...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina...
3 Reactions
9 Replies
927 Views
Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ? Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia . Binafsi...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi. Ni kitu cha kawaida kuwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
15 January 2024 Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa. MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nadhani wimbo wetu tukufu wa taifa unafaa kubadilishwa hasa pale panaposema WABARIKI VIO-NGOZI WETU maana haiwezekani tukawa tunawaombea baraka viongozi matapeli, wanyanyasaji na...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Dr. Sisimizi Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom