CHADEMA wamefanikiwa kutuonyesha na kuionyesha dunia kwamba polisi Hutumika kuzima fikra na mahitaji ya haki nchini

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Haya maandamano yaliyofanyika, utulivu ulionekana na mashirikiano chanya yaliyowekwa na Jeshi la Polisi ni wazi kwa miaka mingi wanasiasa wa CCM wamekuwa wakitumia jeshi la Polisi vibaya kudhibiti mawazo na fikra mpya.

Maandamano haya yamefanyika kwa ustaarabu mkubwa yakihusisha familia za viongozi wa upinzani jambo ambalo hakuna siku watoto wa watawala wamewahi kushirikiana na wananchi kudai haki.

Maandamano hayo yamefanikiwa kuonyesha viongozi wa dini akiwepo Mwaipopo kwamba shetani amekalia kiti cha dini nchini na amechukua nafasi kubwa miyoyoni mwa wale tuliowahita viongozi wa dini

Wapo wapi waliojiita viongozi wa upinzani wanaiita na vyombo vya habari kukemea maandamano?

Yupo wapo Malasusa aliyetamka mbele ya madhabau kwamba hajawahi kuipinga serikali iliyopo?

Niwapongeze Chadema na nishauri sasa nchi ielekee kwenye midahalo ya kisiasa kama iliyofanyika wakati wa katiba mpya watoto watambue wazi kwamba wana haki ya kulinda nchi yao.

Kama Mwalimu Nyerere angetii MAMLAKA za kikoloni leo tusingekuwa na uhuru tulionao. Lazima watoto na vijana waanze sasa kupigania nchi yao ili wanasiasa wawe accountable kwao.

Vijana hawana ajira na wanaamini umri wao upo hapo hapo, ujana ukipita umepita lazima raslimali za nchi ziwanufaishe wananchi siyo wageni
 
Well enunciated
 
Asante.
Malasusa mpumzishe tu.Sisi Walutheri tunajua yajayo yataumiza kwa chaguo hilo.
 
Screenshot_2024-01-24-15-06-20-1.png
 
Ninavyoifahamu akili ya Makonda, muda si mrefu naye ataitisha maandamano kuunga mkono falsafa ya 4Rs za Mh. SSH. Atakodi waandamanaji nchi nzima ili tukio lionekane mbashara na kuwa limefana katika luninga zote nchini ili kujaribu ku "neutralize" haya yaliyofanyika leo.

Ndezi ni ndezi tu. Na huwa katika ubora wake wote pale akiwa katika mazalia yake ya asili ya kindezi.
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama ugonjwa wa akili wa kuhisi. ubaya kwa wenzako
 
Ninavyoifahamu akili ya Makonda, muda si mrefu naye ataitisha maandamano kuunga mkono falsafa ya 4Rs za Mh. SSH. Atakodi waandamanaji nchi nzima ili tukio lionekane mbashara katika luninga zote nchini ili kujaribu ku "neutralize" haya yaliyofanyika leo.

Ndezi ni ndezi tu. Na huwa katika ubora wake wote pale akiwa katika mazalia yake ya asili ya kindezi.
Na tungependa yeye na mke wake wawepo
 
shetani amekalia kiti cha dini nchini na amechukua nafasi kubwa miyoyoni mwa wale tuliowahita viongozi wa dini
Hapa unamsingizia shetani, viongozi wa dini wamekuwa watumwa wa chama na serikali, wameamua kutumika kuwaumiza wananchi. Sikiliza lugha zao kila wakiongea.
 
Back
Top Bottom