Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,821
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

======================

For English Audience

The 2025 political winds have already started blowing and statements from politicians are emerging. Makonda, believe President Samia is God chosen and even Mbowe know that. And he also said that once she took over the first thing she did was reconcile the Tanzanians with out considering the difference of political parties, ethnic group or status.

PIA, SOMA:

Uteuzi wa Makonda kuwa Mwenezi
Kauli na matamko mengine ya Makonda
 
Nilishasema na kuandika sana humu kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na kwamba Mungu ndiye aliyemuinua Rais Samia kwa mkono wake Mwenyewe.na kwamba kamwe na katu hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwa kuwa mkono uliomuinua Dr Samia Ni mkubwa na wenye nguvu kuliko mkono wa mwanadamu yeyote yule hapa chini ya jua.
 
Jinga sn
 
Tuamini ya kwamba ametumwa na haya maneno au ulevi wa madaraka, Rais Samia jitathmini na waongeaji hovyo wa hivi epuka kujikwaa mara Kwa mara chama kinahitaji watu makini Kwa ndimi zao na matendo pia .
Huku ni kutoa Thamani za kufikiri Kwa Wana CCM wenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom