Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024.
Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria...
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku...
Nimeshangaa sana leo.
Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda.
Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda...
Siku chache tangu aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohammed Saidi kujiuzulu nafasi hiyo leo, Jumamosi Januari 27.2024 Rais wa Zanzibar na...
Siasa michezo au mchezo duty?
Bandugu ba Jamii forum nimeanza kurecover kidogo kidogo baada ya kifo cha mwanangu maana imefika pahala nalazimika kuamini yakuwa kweli Binti yangu kipenzi sipo nae...
Tuliahidiwa kuwa mtambo namba utawashwa kati ya January mwishoni na February mwanzoni. Nawakubusha tu Tanesco kuwa muda wa kutimiza ahadi hii nayo ambayo ni kama ahadi ya 12 hivi kuhusiana na...
Katika Historia yetu sioni mawaziri wa fedha na wa viwanda na biashara waliofanya makubwa sana kuibadilisha nchi hii.
Wahindi wamekuwa wanafanya vizuri sana huko duniani hasa katika sekta ya...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.
Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna...
Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini:
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari...
Kuna andiko linazunguka hapa jukwaani likisema Makonda anatumia ziara zake kumjenga MAKONDA AJAE NA SIO CCM
Swali makondoka anajengeka?
Nani hasiyemjua Bashi dhidi malove davi yake juu ya...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa...
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali
Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya...
Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo...
Ifike mahali tutenganishe siasa na kazi, nimechukizwa sana na Hawa watu wanaojifanya ni viongozi wa Chama cha kijani kuingilia majukumu ya watumishi.
Tena nitoe Kongole la nguvu kwa huyu daktari...
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa...
Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.