Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,989
142,006
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali

Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya kuandamana imetolewa na Katiba ya JMT

Source BBC news
 
Tutawashukuru kwa kutoa taarifaa. Mabango yao tutayafanyia kaziii
 
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali

Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya kuandamana imetolewa na Katiba ya JMT

Source BBC news
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P
 
Ni sionekane na pinga lakini na hisi wewe ndiye unakosea ,tena hasa unapokuwa mwandishi na mwanasheria.

Haki haiombwi. Wanaishukuru katiba inayotoa haki hiyo siyo mtu. CCM mmefundishwa vibaya, ndiyo maana unaona watu wanapata ajali wana mshukuru Mama Samia.

Wewe Ni mwanasheria ulipaswa uone, hili swala hawapaswi kumshukuru yeyote, Haki sio hisani inayotolewa na mtu. Haki ni takwa la kikatiba na kisheria. Kwanini washukuru au wamshukuru nani sasa?

Hivi vitu tunapaswa tuanze kuvizoea visionekane ni hisani, kutenda haki ni wajibu wa serikali yoyote iliyoko madarakani kwa mujibu wa katiba. Chadema kuruhusiwa kuandamana ni sehemu ya jukumu la serikali, na kuyalinda ni sehemu ya jukumu la serikali.

Ni jambo jema wameruhusu, na wamelinda lakini sioni kama kuna sababu ya serikali kushukuriwa kwa hili, kwa sababu wametekeleza wajibu wa kiserikali.
 
Walete maandamano ya Katiba Mpya, Umeme na gharama za maisha
Badala ya ku blame taasisi husika, mnaandamana kutukwaza mabarabarani kwa foleni, blame kwa kumwandikia waziri husika wa nishati juu ya tatizo naye atoe jibu la msingi, sasa mnataka kutufungia mabarabara, stupidity!
 
Pia kuna makato makubwa ya kodi kwa wafanyabiashara. Serikali inachukua 30% ya faida, halafu VAT 18% ukiachana na import duty inakwenda mpaka 25%
Pia kuna Makato makubwa sana kwenye miamala ya simu.....

Hebu fikiria Kila unapo-draw elfu 20, kwenye miamala ya simu, wanachukua elfu mbili na mia tano jaribu kufikiria ni watu wangapi wanao-draw Kila siku, hii serikali ni ya kijambazi kabisa!
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Pasco with all due respect, nakusihi uwe consistent. Usiwe kama CHAWA. Unasema Rais Samia AMERUHUSU mikutano na maandamano hivyo Chadema wanatakiwa wawe na shukrani. Sio wewe uliyemuuliza Magufuli kwa nini anazuia mikutano ya hadhara wakati katiba imeruhusu? Sio wewe unatejiita mwanasheria ulimshangaa Magufuli infront of the whole world kubwa anatumia mamlaka ipi kuzuia kitu ambacho katiba imeruhusu? Leo na wewe unaongea kama wale illitrates kina BABA LEVO au wahuni wengine kuwa Rais karuhusu? Ni kwamba hujui, umesahau au ni NJAA?
 
Pasco with all due respect, nakusihi uwe consistent.

Usiwe kama CHAWA. Unasema Rais Samia AMERUHUSU mikutano na maandamano hivyo Chadema wanatakiwa wawe na shukrani. Sio wewe uliyemuuliza Magufuli kwa nini anazuia mikutano ya hadhara wakati katiba imeruhusu? Sio wewe unatejiita mwanasheria ulimshangaa Magufuli infront of the whole world kubwa anatumia mamlaka ipi kuzuia kitu ambacho katiba imeruhusu? Leo na wewe unaongea kama wale illitrates kina BABA LEVO au wahuni wengine kuwa Rais karuhusu? Ni kwamba hujui, umesahau au ni NJAA?
Mkuu Mzito Kabwela ...!, duh...!.
P
 
Pasco with all due respect, nakusihi uwe consistent. Usiwe kama CHAWA. Unasema Rais Samia AMERUHUSU mikutano na maandamano hivyo Chadema wanatakiwa wawe na shukrani. Sio wewe uliyemuuliza Magufuli kwa nini anazuia mikutano ya hadhara wakati katiba imeruhusu? Sio wewe unatejiita mwanasheria ulimshangaa Magufuli infront of the whole world kubwa anatumia mamlaka ipi kuzuia kitu ambacho katiba imeruhusu? Leo na wewe unaongea kama wale illitrates kina BABA LEVO au wahuni wengine kuwa Rais karuhusu? Ni kwamba hujui, umesahau au ni NJAA?
Awamu ya 5 hiyo haki ya kuandamana na Mikutano haikuwepo?!🐼
 
... TIMING WALIIKOSEA! ... yaani kama wangepambana na Mzee Magu kama Raila alivyolianzisha na Ruto tungeona KWELI! ... HIT THE IRON WHILE STILL RED HOT!
'NA HII NI KWELI KABISA'! 😅
1706242564692.png
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Hivi una akili timamu wewe unawezaje kusema samia aliruhusu maanadamano? kwani katiba ingekuwa inakataza samia angeweza kuruhusu? Eti washukuru,washukuru kipi sasa?
Ndio maana nasema hivi asilimia 90 ya wasomi watanzania ni wajinga na kinachowafanya wawe wapumbavu kama sio mitaala mibovu basi ni uchama kuna lijitu lenyewe ni chadema tu hata chadema wafanye upumbavu gani lenyewe ni kusapoti tu, alafu kuna lingine ni CCm hata CCm ifanye nini lenyewe litaisapoti tu, sasa huu si ni ujinga ambao unapatikana Africa tu,Hii ni haki ya kikatiba na kipindi mandamano wamepigwa marufuku it was vivid that the constitution was offended, Acha kuongea like a fool, acha ushabiki wa vyama, I know deep down your heart you understand how things are, lakini ni uchama unakufanya uwe hivyo ulivyo, ni watu kama nyinyi ndio mnasababisha watu wengine wanasota!
If I had authority......
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Kabisa mkuu!
 
Back
Top Bottom