Tuwapatie Wahindi wizara za fedha na viwanda na biashara waamshe nchi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,260
Katika Historia yetu sioni mawaziri wa fedha na wa viwanda na biashara waliofanya makubwa sana kuibadilisha nchi hii.

Wahindi wamekuwa wanafanya vizuri sana huko duniani hasa katika sekta ya biashara na teknolojia kiasi cha kufanywa wakuu wa makampuni makubwa ya kidunia, World Bank na hata kuutwaa uwaziri mkuu wa Uingereza.

Sisi pia nchi yetu ina Wahindi wazalendo sana ambao tunaweza kuwatumia kutusaidia kupiga hatua kubwa sana za maendeleo. Tutafute wawili au watau tu tuwape wizara za Fedha na Biashara na viwanda watuchangamshie uchumi wa nchi kibiashara.
 
mi nadhani wabaki tu kwenye betting industry huko wako vizuri zaidi 🐒
 
Usikilizwe......hakuna cha kuogopa Maana tuliwahi kuwa na mzee Jamaal kwenye baraza la kwanza kabisa la mawaziri pmj na yule mwarabu mzee Salim...akaja Mama Zakia kwenye wizara nyeeti kabisa

Ni Bora watuibie lkn wana cha kutufanyia kwenye makuzi ya nchi kuliko hawa mapandikizi na walafi waliopo wanaiba Sana kiasi ambacho hawawezi kukitumia ktk maisha yao ya kawaida na Hakuna ukuaji wowote wa uchumi ktk jamuhuri yetu
Tuwarudishie wahindi hizo wizara
 
Hizi ni dharau kwa taifa na waafrika wenzako. Kwahiyo unataka kunambia hakuna watanzania wenye uwezo wa kusimamia mambo na yakaenda kwa kasi inayotakiwa?

Hizi ni dharau mbaya sana aisee.
 
Katika Historia yetu sioni mawaziri wa fedha na wa viwanda na biashara waliofanya makubwa sana kuibadilisha nchi hii.

Wahindi wamekuwa wanafanya vizuri sana huko duniani hasa katika sekta ya biashara na teknolojia kiasi cha kufanywa wakuu wa makampuni makubwa ya kidunia, World Bank na hata kuutwaa uwaziri mkuu wa Uingereza.

Sisi pia nchi yetu ina Wahindi wazalendo sana ambao tunaweza kuwatumia kutusaidia kupiga hatua kubwa sana za maendeleo. Tutafute wawili au watau tu tuwape wizara za Fedha na Biashara na viwanda watuchangamshie uchumi wa nchi kibiashara.
Hao si ndiyo wezi wakubwa waliochangia taifa hili kuwa masikini.Kuanzia ununuzi wa RADA, ESCROW,EPA nk.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo yanaletwa na usimamizi wa Sera na maono,sio watu.Mnachagua viongozi wezi na wasio na uchungu na maisha ya wengine-halafu kutwa lawama.

Nchi za kiafrika maendeleo yatakuwa kazi sana maana mnawapa dhamana kama.Marais wa Nchi ndio hao hao wanao hujumu Nchi.

Na hao wahindi wangekuwa smart kama unavyosema basi sidhani kama nyuma zaidi ya 5 dhidi ya Wachina.
 
Katika Historia yetu sioni mawaziri wa fedha na wa viwanda na biashara waliofanya makubwa sana kuibadilisha nchi hii.

Wahindi wamekuwa wanafanya vizuri sana huko duniani hasa katika sekta ya biashara na teknolojia kiasi cha kufanywa wakuu wa makampuni makubwa ya kidunia, World Bank na hata kuutwaa uwaziri mkuu wa Uingereza.

Sisi pia nchi yetu ina Wahindi wazalendo sana ambao tunaweza kuwatumia kutusaidia kupiga hatua kubwa sana za maendeleo. Tutafute wawili au watau tu tuwape wizara za Fedha na Biashara na viwanda watuchangamshie uchumi wa nchi kibiashara.
Zakia Meghji
 
Back
Top Bottom