Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Leo Leo naendelea na ile mada ya kuhusu Haki za Kikatiba, zilizotolewa na Ibara moja ya Katiba, halafu zikaja kuporwa kwa kuchomekewa vifungu vinavyopora...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Maamuzi ya wizara ya habari kutafuta Software developers au ushirikiano toka sekta ya kibenki ni wa kupongezwa,Serikalini bado wanajikongoja sana software engineers wake ,Wale vijana waliokuwa...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na...
24 Reactions
71 Replies
4K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anaeendelea na ziara ya kikazi mkoani Lindi katika kukagua na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maji ameanza kwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao Inashangaza sana Nakumbuka 2013 nilikuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Friends and Our Enemies, Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
10 Reactions
202 Replies
7K Views
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya...
31 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, habari kutoka ndani ya CCM zinabainisha kuwa CCM wameishaanza mchakato wa kumfukuza uanachama mbunge wa Kisesa, ndugu Luhanga Mpina. Inasemekana kabla...
9 Reactions
125 Replies
11K Views
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi...
8 Reactions
80 Replies
6K Views
JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za...
1 Reactions
4 Replies
825 Views
Waziri wa ajabu sana tena sana khasa kwa nchi yetu nieleweke nimesema kwa nchi yetu ambayo viongozi wengi wanajitoa akili hili wabaki kwenye teuzi lakini ajabu ya huyu waziri anajiuzulu mwenyewe...
1 Reactions
2 Replies
745 Views
..Majengo au minara ya kifahari ni utambulisho kwa miji mikubwa na hata nchi mbalimbali. ..Nitatoa mifano michache. ..Mnara wa Eiffel ndiyo utambulisho wa jiji la Paris. ..Haiyumkini mtu...
6 Reactions
129 Replies
23K Views
Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho/Serengeti. Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na...
0 Reactions
4 Replies
689 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina leo wamewavaa vikali bungeni waziri wa nishati pamoja na naibu wake kutokana na tatizo la kukatika umeme na kuchelewa kujazwa maji kwa bwawa la kufua umeme la mwl...
18 Reactions
105 Replies
12K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli leo akiwa anaomba kura Karatu ambako ni nyumbani kwa Slaa amesema wazi kuwa tangia mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini Tanzania, kama...
28 Reactions
129 Replies
15K Views
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kufanya vibaya kwa MSD mwaka huu kwenye report ya CAG haitokani na sheria mbovu za manunuzi pekee mbali mipango mibovu ya uongozi wa bohari ya dawa. Amesema...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom