Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."
Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.