Namsubilia EMA akazuru kaburi la Magufuli na Akamwone Lowasa aliko Lazwa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Siasa michezo au mchezo duty?

Bandugu ba Jamii forum nimeanza kurecover kidogo kidogo baada ya kifo cha mwanangu maana imefika pahala nalazimika kuamini yakuwa kweli Binti yangu kipenzi sipo nae kwa uzembe wa serikali ya awamu ya sita

Wakati wa Bwan ni wakati sahihi nipo njiani kuelezea kila kitu kilichojili na kilichotokea kbal na baada ya kifo cha mwanangu stegemei kuivua nguo serikali ila natarajia kuanika ukweli baada ya kupata ripoti ya uchunguzi wao nasema wao ila na mimi ntatoa wangu

Nitatoa mchango na umuhimu wa wana jf wakiongozwa na Mkurugenzi mkuu wa jf wamefanya kazi kubwa ambayo hata serikali nina hakika awajui kama jf na watu wake waliingia kazini

Nikili yawazi jf ni jeshi kubwa mwisho nitakuj kuwaumbua walio nisema kwa nini nilipitia hapa kwa kuonesha yaliyojili na mabezo yao.

Sio mada ya leo hiiukiona nachek trust me nimeanza recover.

Kwa kuwa kabla kupatwa na yaliyonipata mimi kupitia jukwaa ili nilikuwa nikipenda kuandika vijitu vyangu vya ajabu ajabu

Leo nasema naomba " ema" aende akahani msiba wa Magufuli na akimaliza aende kwa mwanae Ze Don Lowasa akagonge chiars

Je waju Ema ndo alikuwa ana enda kuwa waziri Mkuu wa Tanzania kama.Lowasa hasingekatwa?
Karibuni sanaa sifi nimerejea kwenye hali yangu.
 
Pole ndugu Sifileo na hauta kufa leo wala kesho,kwani Mungu yuu pamoja nawe na kwa imani ya kuamini kuishi.
 
Back
Top Bottom