Nawakumbusha Tanesco kuwa muda wa kuwasha mtambo kule JNHPP umefika

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Tuliahidiwa kuwa mtambo namba utawashwa kati ya January mwishoni na February mwanzoni. Nawakubusha tu Tanesco kuwa muda wa kutimiza ahadi hii nayo ambayo ni kama ahadi ya 12 hivi kuhusiana na kuanza kupatikana kwa umeme kwenye bwawa la JNHPP nao ndio umefika. Kama kuna ahadi mpya watupe mapema tujiandae kisaikolojia kwenye akili zetu
 
images (22).jpeg
 
Hahaha wakajua tumesahau?!
 
Back
Top Bottom