Makonda ndiye bosi wa Mawaziri wote kwakuwa yeye ndiye anasimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,110
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥
 
Hata huko ccm hana ubosi wowote
 
Muhehe na Mnyakyusa wape u-boss tu.Hata nyongeza ya mshahara hawataki.Neene mukwamisi!
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥
Chochea kuni moto ukolee ! 🔥🔥
Mawaziri mizigo wajitafakari ! 😅😅
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥
Wenzake Wamemkataa Mchana Kweupe Sana
 
Rais Mwenyewe na Kassim Majaliwa ilibidi ndio wawe wanaifanya hiyo kazi anayoifanya Makonda.

Ila naona mmoja mvivu, hajali, WM kapunguziwa nguvu sasa hivi yeye ni kama waziri wa kawaida tu na yeye anapewa maelekezo na Makonda.
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥

Makonda ni chawa aka mwongeaji tu wa maamuzi kajiongeza sasa anataka kuwa chawa kabisa
 
Mbona kipindi nape,Pole Pole na wengine waliopita hamkusema hivo? Mnamkuza sana huyo makonda.mbona alikua bench na chama kilienda
 
Makonda ni chawa aka mwongeaji tu wa maamuzi kajiongeza sasa anataka kuwa chawa kabisa
Mbona mnaongeza chumvi,ni wapi Makonda amaefanya uamuzi wa kumfukuza mtu?yeye anahoji Watendaji kwa niaba ya Wananchi na akiona Mtendaji chenga anawapigia mamlaka za kiutumishi kwa muhusika,kama ambavyo alimshitaki DED wa Handeni kwa Mchengerwa naye akachukua hatua,na wala haikuwa uonevu maana DED mwenyewe alikuwa hajielewi.
Punguzeni chai,ata kama hamumpendi Makonda lakini siyo vizuri kusema uongo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Amfukuze Bashe basi tuone ukubwa wake
Wewe huna akili,kwani Makonda amemfukuza nani tangu kaanza ziara zake?
Sasa akimpa taarifa Mwenyekiti,Bashe anatoborea wapi?mbona Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais alipewa maelekezo juu ya utendaji mbovu wa DED wa Handeni na akachukua hatua,inamaana Mchengerwa hajui taratibu?.Huyo Msomali ni kiburi na ndiyo maana huko kwao alikokimbia ni vita kila siku maana kila mtu ni mjuaji.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥
Sidhani kama katiba inamruhusu kumhoji au kumpa maagizo moja kwa moja waziri.

Bila shaka Kama kiongozi wa chama anatakiwa akaripoti kwa viongozi wake wa chama i.e mwenyekiti mapungufu ya wateule wake kwenye serikali.
 
Wewe huna akili,kwani Makonda amemfukuza nani tangu kaanza ziara zake?
Sasa akimpa taarifa Mwenyekiti,Bashe anatoborea wapi?mbona Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais alipewa maelekezo juu ya utendaji mbovu wa DED wa Handeni na akachukua hatua,inamaana Mchengerwa hajui taratibu?.Huyo Msomali ni kiburi na ndiyo maana huko kwao alikokimbia ni vita kila siku maana kila mtu ni mjuaji.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sasa si Makonda ampe hiyo taarifa Mwenyekiti , shida iko wapi ?
 
Back
Top Bottom