CCM hapa ndipo mnapoharibu kufunga barabara ili viongozi wenu wapite

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Nimeshangaa sana leo.

Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda.

Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda.

Najiuliza, kama kila kiongozi akifika mahali biashara na barabara zina fungwa, je maendeleo yata patikana lini?
 
Ni kero kubwa sana jana nimekutana nayo Shinyanga. Huu ni ujinga wa kiwango cha lami unafunga njia kwasababu za kijinga tu, wasafiri wametoka mbali wamechoka wagonjwa kisa siasa huu ni upumbavu
 
Back
Top Bottom