Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Tanzania na Global Fund zimesaini mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
"Kwa kuwa tunaamini kwamba tukiunganishwa kwenye gridi ya Taifa ndiyo itakuwa utatuzi wa changamoto ya umeme lakini maeneo ambayo tayari walishaunganishwa bado umeme unakatika". "Mwaka jana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara...
15 Reactions
114 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali wa siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Hii leo asubuhi...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Viongozi wa TANZANIA wengi wao ni watu wa Maofisini tu. Tumesikia Mkurugenzi wa Mabasi ya Mwendokasi hajawahi kutembelea Kituo cha Mabus cha Gerezani toka ameteuliwa yeye ni OFISINI tu kuidhinisha...
2 Reactions
4 Replies
540 Views
Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake. CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake. Chama...
1 Reactions
15 Replies
770 Views
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa...
37 Reactions
361 Replies
37K Views
Bambali anapotoka Sadio Mane pamekua mjini Sasa[emoji1211] Mane Alijenga hospitali ya kisasa yenye uwezo wa kinamama kujifungua salama mdaktari wa kutosha watoto na wazee kupata huduma nzuri...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Moja ya malalamiko makubwa kabisa ya chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na wananchi walio wengi nchini, ni kukosoa suala la wakurugenzi wa miji kuwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu. Ni jambo...
2 Reactions
7 Replies
861 Views
Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna...
2 Reactions
14 Replies
613 Views
Nawafunza somo jepesi. Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee. Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo...
0 Reactions
7 Replies
912 Views
Ni rahisi zaidi nchi ya kifalme au kutoka katika ufalme kuingia katika demokrasia imara ndani ya muda mfupi kuliko kutoka katika chama kimoja kuingia katika demokrasia. Ukiangalia katika historia...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Hivi karibu mwenezi alishajaribu kuuliza kero za Jiji la Dar maana mwendokasi ni shidaa, Barbara za mitaani ni Majanga, watu wengi huduma za afya hazitoshi, mimi naona azunguke tu mwenyewe bila...
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Back
Top Bottom