CPV, PAP, CPC wamekaa muda mrefu madarakani lakini wameleta maendeleo ila CCM wameleta upumbavu. Inasikitisha

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,324
Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake.

CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake.

Chama cha PAP cha Singapore kipo madarakani toka 1959 miaka 65 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 515 billion
PPP = $ 757 billion

Chama cha CPC cha China kipo madarakani toka 1949 miaka 75 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 18.5 trillion
PPP = $ 35 trillion

Chama cha CPV cha Vietnam kipo madarakani toka 1954 miaka 70 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 467 billion
PPP = $ 1.5 trillion

CCM sasa toka 1961 kwa miaka 63 kazi yao haifurahishi hata kidogo G.D.P nominal $84 billion na PPP $228.

Hivi hawa CCM huwa wana jifunza nini kwa marafiki zao hao wakomunisti Wachina na Wavietnam mbona wenzao wanapepea ?

Hawa PAP wana ongoza kijitaifa kidogo kama Singapore kinatukimbiza hatari sisi taifa kubwa linalo ongozwa na hawa maharamia CCM. Hawaoni hata aibu hawa CCM ?
 
It's very funny kuwa hivyo vyama huko ktk mabara mengine vimeishi na kudumu Kwa miongo mingi kiasi hiki..

Lakini kwa hapa Afrika, hakuna chama Cha siasa kilichoweza kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50..

CCM hii ya mwaka 1977 wala haina maisha marefu tena wa kuendelea kuwepo...

Mwisho wao ndio huu umeshawajia kama mwizi ajaye kuiba lakini maskini hawa wala hata hawajui kuwa wanaondoka..!

Yaani yanakula na kunywa tu na kufanya kila aina ya anasa kwa jasho la watu masikini na hayana habari kabisa kuwa mauti iko milangoni mwao!!
 
siku za mwizi 40 kwa ccm wamefikisha 50
 
Lazma utofautishe malengo
ccp ya china malengo yake ni kuipita marekani na kuwa world super power na inakaribia kufanikisha!!

sisiemu malengo yake ni kubaki madarakani!!
 
Chama ni watu, serikali ni watu haohao.
Maendeleo huletwa na watu.
Watu wa hovyo husababisha chama na serikali kuwa hovyo.
Ili kuendelea lazima kuwabadilisha watu walio wengi kifikra.
 
Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake.

CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake.

Chama cha PAP cha Singapore kipo madarakani toka 1959 miaka 65 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 515 billion
PPP = $ 757 billion

Chama cha CPC cha China kipo madarakani toka 1949 miaka 75 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 18.5 trillion
PPP = $ 35 trillion

Chama cha CPV cha Vietnam kipo madarakani toka 1954 miaka 70 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 467 billion
PPP = $ 1.5 trillion

CCM sasa toka 1961 kwa miaka 63 kazi yao haifurahishi hata kidogo G.D.P nominal $84 billion na PPP $228.

Hivi hawa CCM huwa wana jifunza nini kwa marafiki zao hao wakomunisti Wachina na Wavietnam mbona wenzao wanapepea ?

Hawa PAP wana ongoza kijitaifa kidogo kama Singapore kinatukimbiza hatari sisi taifa kubwa linalo ongozwa na hawa maharamia CCM. Hawaoni hata aibu hawa CCM ?
Maendeleo ni jamii yenyewe ndio inaamua sio serikali. Huko kote jamii zao zinadisplin za maisha serikali inafanya padogo sana kuchora raman ya taifa linakoelekea.
 
Umasikini ni matokeo ya kafara maagano ya CCM na shetani.
Thus hawawezipambana na maendeleo ya nchi bali yao binafsi
 
Back
Top Bottom