Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Mheshimiwa Paul Makonda kusimamisha ziara yake kwa siku chache ili kuungana na kushiriki katika ziara ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama...
“Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee...
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo.
Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi...
Serikali yetu pendwa chini ya Rais wetu Mama Samia Suluhu imekuwa ikitudanganya baadhi ya mambo, na mbaya zaidi serikali yetu imekuwa haituletei mrejesho wa mambo waliyotuahidi.
Haya ni baadhi ya...
Kama raia, tanapoyatamini na kuyatafuta maendeleo lazima kuna ukweli tunahitaji kuufahamu vizuri.
Mojawapo ni hili la kwamba demokrasia haileti maendeleo, pia udikteta hauleti maendeleo...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka...
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.
Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna...
Wakati wa Awamu ya 4 Rais akiwa Kikwete CHADEMA walikuwa Wanafanya sana mikutano ya hadhara tena bila chopa na walipata nyomi.
Lakini awamu pamoja na kuruhusiwa na Rais Samia bado hawafanyi...
Salaam ndugu zangu,
Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu...
Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo.
Lakini kwa...
Tanzania na Global Fund zimesaini mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI...
"Kwa kuwa tunaamini kwamba tukiunganishwa kwenye gridi ya Taifa ndiyo itakuwa utatuzi wa changamoto ya umeme lakini maeneo ambayo tayari walishaunganishwa bado umeme unakatika".
"Mwaka jana...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali wa siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Hii leo asubuhi...
Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as...
Viongozi wa TANZANIA wengi wao ni watu wa Maofisini tu. Tumesikia Mkurugenzi wa Mabasi ya Mwendokasi hajawahi kutembelea Kituo cha Mabus cha Gerezani toka ameteuliwa yeye ni OFISINI tu kuidhinisha...
Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake.
CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake.
Chama...
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa...
Bambali anapotoka Sadio Mane pamekua mjini Sasa[emoji1211]
Mane Alijenga hospitali ya kisasa yenye uwezo wa kinamama kujifungua salama mdaktari wa kutosha watoto na wazee kupata huduma nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.