Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,015
- 12,281
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu.
Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali.
Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai wa kisiasa una endelea.
Lakini kama issues ingekuwa serious mwenezi anaweza kumfanya Bashe akalala mbunge na Waziri na akaamka asubuhi hana vyote.
Siasa zetu hupaswi hata kidogo kudharau maboss wa chama ambao serikali ipo chini yao.
Mwenyekiti wa CCM mkoa ana nguvu ndani ya chama kuliko mbunge wa kawaida tu.
Heshima na nguvu katika siasa zetu zinaanzia katika chama na kwenye chama ndipo kuna vita kubwa kuliko sehemu yoyote ile hata Rais Samia mara kadhaa amekuwa akikiri hili kuitawala chama na kikaenda na wewe nchi kuitawala inakuwa kazi nyepesi.
Bashe awe makini na Makonda anaweza kumfanya bungeni arudi au asirudi kabisa labda kama ana support ya mwenyekiti wa chama.
Nawakumbusha tena viongozi wa CCM wana nguvu kuliko viongozi wa kiserikali.