Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna...
2 Reactions
14 Replies
613 Views
Nawafunza somo jepesi. Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee. Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo...
0 Reactions
7 Replies
912 Views
Ni rahisi zaidi nchi ya kifalme au kutoka katika ufalme kuingia katika demokrasia imara ndani ya muda mfupi kuliko kutoka katika chama kimoja kuingia katika demokrasia. Ukiangalia katika historia...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Hivi karibu mwenezi alishajaribu kuuliza kero za Jiji la Dar maana mwendokasi ni shidaa, Barbara za mitaani ni Majanga, watu wengi huduma za afya hazitoshi, mimi naona azunguke tu mwenyewe bila...
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani...
2 Reactions
5 Replies
474 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida...
11 Reactions
81 Replies
10K Views
Mjanja sana huyu jamaa! Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu...
1 Reactions
1 Replies
827 Views
Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baraza la Vyama Vya Siasa liliketi kwa siku mbili na Wajumbe wa Vyama Vyote walitoa mawazo yao Nilichogundua Benson Kigaila wa Chadema Ule Mchango wake ndio umebebwa positively na Watanzania wote...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2017 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata mkopo kutoka benki ya dunia wa tsh billion 864 kwa ajiri ya kuongeza kina na kuimarusha gati (1-7) pamoja na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma == Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Mkuu wa wilaya ya Chato mkoani Geita amekanusha uvumi wa kwamba mbuga ya wanyama ya Burigi Chato imefungwa na wanyama wamekufa au wamekimbilia kwingine. Mkuu huyo wa wilaya amesema mbuga hiyo ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kabla hata ya mkuu wa Majeshi kuongea lolote hapa JF hizo story za Viongozi ambao wanaotuhumiwa kuwa raia wa nchi Jirani zilikuwa zimesambaa Sana. Binafsi siamini kama kweli Jeshi limechunguza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika Nchi yenye Changamoto kubwa ya Afya na Huduma zisizoridhisha za Afya eti unatenga Bilioni 900 kulipa posho? Aisee huu ni zaidi ya upigaji na sijui Kwa nini Kamati za Bunge na Serikali...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom