Haya ndiyo mambo matatu ambayo pande zote mbili zinazovutana hazitaki ukweli ujulikane. Je, ni kwanini?

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
781
799
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu.

1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda .

2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa kujisafisha au kupata ukweli .

3. Wabunge COVID-19

Ukweli wa haya mambo matatu tu ukiwekwa wazi vijana wengi sana wataacha fuatilia Siasa .​
 
CCM na Chadema wanajuana,,nahisi vyote wanasema ni vya mwendazake
 
Wanaficha baadhi ya mambo lakini Time will Tell.

NAAMINI HIVYO, SIO KWAMBA NINA UHAKIKA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Yaani CCM wajue kabisa CHADEMA wamehusika kumpoteza Ben Saanane wakae kimya? CCM umeanza kuwajua leo? Yaani mtu akubambike kesi ya ugaidi ashindwe kukushtaki kwa kesi kama hiyo?!
 
Yaani CCM wajue kabisa CHADEMA wamehusika kumpoteza Ben Saanane wakae kimya? CCM umeanza kuwajua leo? Yaani mtu akubambike kesi ya ugaidi ashindwe kukushtaki kwa kesi kama hiyo?!
Kwa hiyo unaamini kabisa kesi ya Mbowe ilikuwa na nia mbaya kwake ? Au ilikuwa ni michezo ya siasa tu
 
Back
Top Bottom