Aida Khenani: Kwanini umeme unakatika licha ya kuwepo maji mengi hadi mafuriko?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
"Kwa kuwa tunaamini kwamba tukiunganishwa kwenye gridi ya Taifa ndiyo itakuwa utatuzi wa changamoto ya umeme lakini maeneo ambayo tayari walishaunganishwa bado umeme unakatika".

"Mwaka jana serikali ilitujibu kwamba changamoto ya kukatika kwa umeme inatokana na upungufu wa maji kwa sasa maji ni mengi na mafuriko juu nini sababu nyingine inayopelekea umeme kukatikatika nchi hii".
 
Unategemea CCM wakose uongo wa kuweka hapa?
"Ni kweli maji ni mengi Hadi yamezidi, na Mheshimiwa Mbunge wa Nkasi laskazini unajua too much is harmful".
 
Back
Top Bottom