Mbombo ngafu, hii imekaaje?
CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao...
Habari Wakuu, baada ya Bodi ya Sukari Nchini kutangaza bei elekezi ya Sukari, kuwa 2,700 hadi 3,200, kwa Kilogramu 1, siku 6 baadaye bado Wananchi wana sintofahamu nyingi sana
Mimi binafsi nina...
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza...
Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai...
Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote...
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 2, leo Januari 31, 2024.
https://www.youtube.com/live/aKnZBQWXD_o?si=nsUmxYJmKTyrVV5i
"Mchango wangu unajielekeza katika Muswada...
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo...
Naibu Waziri wa Ujenzi anesema Serikali itajenga Mifereji ya Maji kutoka Boko Basihaya na Tegeta hadi mto Tegeta na Maji ya mvua kupelekwa Baharini
Ahadi ya Serikali imefuatia ombi la mbunge wa...
Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS) mkoa wa Tabora imeanza zoezi la kuondosha kwa kufyeka mazao yote ambayo yamelimwa na wakulima katika hifadhi za barabara.
Zoezi hilo utekelezaji wake umeanza...
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni:
1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI
2. Kupigwa...
Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu...
Vijana wengi wa mjini wanamuita mtoto wa mjini maana kwenye medani za siasa mnaweza kucheka naye akikulia timing unakwisha habari yako.
Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake...
Ilikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa primary school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia CCM na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi...
Chama Cha Mapinduzi kimeanza kugawa Ilani yake mpya na sasa kimefikia ngazi ya chini kabisa ya matawi toka juu.
Haikufahamika mapema kama wadau wengine wa chaguzi vikiwemo vyama vya siasa navyo...
Akiwa Simiyu amesema kuna watu walipika majungu kwa muda mrefu kwamba "wale" ni wabaya lakini hawakuweza hata kufanya kazi walipopewa nafasi hali iliyopelekea yeye aitwe kukaa hapo.
Amesema sasa...
Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rasmi sasa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ametimiza umri wa miaka 64 kutokana na kuwa alizaliwa siku ya jumatano ya tarehe 27...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.