Paul Makonda akutana uso kwa uso na kusalimiana na Rais Samia mkoani Mwanza akiwa amejaa tabasamu kubwa katika paji la uso wake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,279
9,719
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge,mama wa upendo na ukarimu leo hii ameweza kukutana na Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo Wa CCM Taifa kijana shupavu na jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Amekutana na Mheshimiwa Makonda ambaye kwa sasa yupo katika ziara ya kutembelea mikoa 20 mfululizo bila kupumzika wala kukaa chini katika kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,Pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.

Katika picha ambayo inaendelea kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii Duniani kwote imeonyesha Rais Samia akisalimiana kwa tabasamu na furaha na Mheshimiwa Makonda kijana mchapa kazi kabisa na anayetajwa na watanzania kama sauti ya wanyonge.

Ikumbukwe ya kuwa kwa maono ya kinabii ni Paul Makonda Mwenyewe aliyemtabilia Rais Samia kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wetu wa Rais mwanamke wa kwanza katika Historia ya Taifa letu. Hii ilikuwa ni katika bunge maalumu la katiba mwaka 2014 ambapo Mheshimiwa Makonda alikuwa pia ni mjumbe.

Unaweza kuona Mheshimiwa Makonda ni mtu wa namna gani na ana nini ndani yake mpaka kuweza kuona mambo ya mbele ambayo wengine kwa wakati huo walikuwa wapo katika usingizi mzito na katikati ya giza nene.lakini kwa ujasiri wa hali ya juu sana huku akimwita Rais Samia kwa wakati huo kama Simba jike alimtabilia jambo kubwa ambalo likaja kutokea baadaye.

Na kweli alichokitabiri na kukinena Paul Makonda kilikuja kutokea na kutimia machoni pa watanzania baadaye.huu ni unabii alio ufanya Paul Makonda aliyetangaziwa mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa kishindo uliotikisa milima na mabonde,huyo ndiye Makonda ambaye hajawahi kuwa na uoga wa kuwapambania wanyonge katika kifua chake. Huyu ndiye Makonda aliyezaliwa akiwa na kibali na Karama ya uongozi mkononi mwake.huyu ndiye Makonda anayeendelea kuteka siasa za nchi hii na hisia za watanzania..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan Amekutana na kijana wake Paul Makonda
Asante kwa taarifa ya kukutana kwa mama na mwana, what is news?. Paul Makonda na Rais Samia wametoka mbali, hawajakutana barabarani na uthibitisho ni huu
download (5).jpeg

1706629078131.png
1706629122009.png
1706629212394.png

P
 
Attachments

  • 1706629303564.png
    1706629303564.png
    1.2 MB · Views: 6
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge,mama wa upendo na ukarimu leo hii amefanikiwa kukutana na kijana wake shupavu na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa.

Amekutana na kijana wake ambaye kwa sasa yupo katika ziara ya kutembelea mikoa 20 mfululizo bila kupumzika wala kukaa chini katika kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,Pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.

Katika picha ambayo inaendelea kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii imeonyesha Rais Samia akisalimiana kwa tabasamu na furaha na mwanaye na kijana wake mchapa kazi kabisa na anayetajwa na watanzania kama sauti ya wanyonge.

Ikumbukwe ya kuwa kwa maono ya kinabii ni Paul Makonda Mwenyewe aliyemtabilia Rais Samia kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wetu wa Rais mwanamke wa kwanza katika Historia ya Taifa letu. Hii ilikuwa ni katika bunge maalumu la katiba mwaka 2014 ambapo Mheshimiwa Makonda alikuwa pia ni mjumbe.

Unaweza kuona Makonda ni mtu wa namna gani na ana nini ndani yake mpaka kuweza kuona mambo ya mbele ambayo wengine kwa wakati huo walikuwa wapo katika usingizi mzito na katikati ya giza nene.lakini kwa ujasiri wa hali ya juu sana huku akimwita Rais Samia kwa wakati huo kama Simba jike alimtabilia jambo kubwa ambalo likaja kutokea baadaye.

Na kweli alichokitabiri na kukinena Paul Makonda kilikuja kutokea na kutimia machoni pa watanzania baadaye.huu ni unabii alioufanya Paul Makonda aliyetangaziwa mwisho lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa kishindo uliotikisa milima na mabonde,huyo ndiye Makonda ambaye hajawahi kuwa na uoga wa kuwapambania wanyonge katika kifua chake. Huyu ndiye Makonda aliyezaliwa akiwa na kibali na Karama ya uongozi mkononi mwake.huyu ndiye Makonda anayeendelea kuteka siasa za nchi hii na hisia za watanzania..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ugonjwa wa Red-eye haupo mikoani?
 
Mayalla sasa kwa lugha hiyo kweli utapata uteuzi; toka lini Makonda akawa toto la mama Abdul? Si unajinasibu kukaa sana Dar , sasa hiyo lugha huifahamu tafsiri yake?

Sunche na Kapeto!
 
Kwani hizo picha ulizoziweka hapo ndugu Paschal Mayalla zina uhusiano upi na nilichoandika mimi hapa? Au ndio picha za kilichokuwepo leo na kutokea leo? wewe ni muandishi mkongwe nashangaa kufanya vitu ambavyo havikupaswa kufanywa wala kutarajiwa kufanywa na wewe. Havikuongezei sifa bali vinakushushia heshima yako kwa kuonekana una jambo lako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge,mama wa upendo na ukarimu leo hii amefanikiwa kukutana na Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo Wa CCM Taifa, kijana shupavu na jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Amekutana na Mheshimiwa Makonda ambaye kwa sasa yupo katika ziara ya kutembelea mikoa 20 mfululizo bila kupumzika wala kukaa chini katika kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,Pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.

Katika picha ambayo inaendelea kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii imeonyesha Rais Samia akisalimiana kwa tabasamu na furaha na Mheshimiwa Makonda kijana mchapa kazi kabisa na anayetajwa na watanzania kama sauti ya wanyonge.

Ikumbukwe ya kuwa kwa maono ya kinabii ni Paul Makonda Mwenyewe aliyemtabilia Rais Samia kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wetu wa Rais mwanamke wa kwanza katika Historia ya Taifa letu. Hii ilikuwa ni katika bunge maalumu la katiba mwaka 2014 ambapo Mheshimiwa Makonda alikuwa pia ni mjumbe.

Unaweza kuona Mheshimiwa Makonda ni mtu wa namna gani na ana nini ndani yake mpaka kuweza kuona mambo ya mbele ambayo wengine kwa wakati huo walikuwa wapo katika usingizi mzito na katikati ya giza nene.lakini kwa ujasiri wa hali ya juu sana huku akimwita Rais Samia kwa wakati huo kama Simba jike alimtabilia jambo kubwa ambalo likaja kutokea baadaye.

Na kweli alichokitabiri na kukinena Paul Makonda kilikuja kutokea na kutimia machoni pa watanzania baadaye.huu ni unabii alio ufanya Paul Makonda aliyetangaziwa mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa kishindo uliotikisa milima na mabonde,huyo ndiye Makonda ambaye hajawahi kuwa na uoga wa kuwapambania wanyonge katika kifua chake. Huyu ndiye Makonda aliyezaliwa akiwa na kibali na Karama ya uongozi mkononi mwake.huyu ndiye Makonda anayeendelea kuteka siasa za nchi hii na hisia za watanzania..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hivi hapo aliyefanikiwa kukutana na mwenzake nani?

Yaani mhe. Rais afanikiwe kukutana au Makonda ndiye kafanikiwa?

Anyways napenda sana post zako braza
 
Back
Top Bottom