Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polepole alileta hoja ya wagonjwa kujiandikisha wapate dawa kutoka CUBA akishirikiana na Hospital ya Kairuki Tukaandika hapa kwamba mpango wake umepigwa vita na wanasiasa wenzake na kwamba...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaam Jf, Nimemsikiliza mtoto Halfan Gidion nikatokwa na mchozi binadamu tuzidi sana kumwomba Mungu Kwakuwa yeye amemchagua Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwamba ndio tegemeo lake la...
3 Reactions
1 Replies
519 Views
Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa...
9 Reactions
99 Replies
11K Views
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano CHADEMA walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama. "Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na...
23 Reactions
62 Replies
5K Views
Iko hivi katika siasa! Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya! Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kamati ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba imependekeza kuwa isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi. Pia kamati imependekeza kuwa...
2 Reactions
91 Replies
7K Views
Wale Wahenga wanakumbuka jukumu la Wasanii siasani enzi za awamu ya kwanza Wasanii walibaki kuwa waburudishaji tu Zama hizi tumeendelea Sana Wasanii Ndio Viongozi Watoa maamuzi Akina MwanaFA nk...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Tanzania inaishi kwenye shadow circuit development dilemma; mfumo ambao huna uwezo wa kuweka akiba kwa ajili ya kuendesha serikali bali unatumia makusanyo ya mwezi au kipindi flani kulipa salary...
3 Reactions
3 Replies
710 Views
Habari zilizotufikia ni kwamba, mbunge wa Eala, Shyrosebhanji anahojiwa na kituo cha Polisi Kamkunji jijini Nairobi baada ya kumchapa Makonde Mbunge mwenzake, Nderakisho kessy, juhudi za kumtoa...
11 Reactions
252 Replies
51K Views
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025. Hana sifa. Hana uwezo. Ni mbaguzi. Hatufai. Akigombea 2025. Hakuna wa kumkataza 2030. Tumkatae na mambo yake yote.
42 Reactions
132 Replies
7K Views
Serikali ilitangaza bei elekezi ya sukari kwa nchi nzima lakini mpaka sasa bei hiyo haifuatwi na bei ya sukari imebaki vile vile kabla ya matangazo ya bei elekezi. Kwa nini?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Norway imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika kukijengea uwezo Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kuiwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu kujenga Uchumi wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kufuatilia mambo ya Rushwa Transparent International Tanzania imeendeleq kufanya vizuri ambako Kwa Afrika Mashariki imetanguliwa na Rwanda pekee. --- How EAC...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii tabia ya viongozi wa serikali au wasimamizi wa mashirika ya umma katika miradi ya serikali kutoa tarehe za kuanza au kukamilika kwa miradi zisizo na uhalisia hata kidogo ni kiashiria kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Back
Top Bottom