Ahadi za Serikali ambazo hazijatimia

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Serikali yetu pendwa chini ya Rais wetu Mama Samia Suluhu imekuwa ikitudanganya baadhi ya mambo, na mbaya zaidi serikali yetu imekuwa haituletei mrejesho wa mambo waliyotuahidi.

Haya ni baadhi ya mambo ambayo Serikali yetu ilituahidi pasi na kuyatekeleza,

20240201_103640.jpg


20240201_103520.jpg


20240201_103711.jpg


Ombi langu kwa Serikali yetu - NAOMBA MUWE MNATUPA AHADI ZA KWELI NA SIO KUTUDANGANYA.

Written by Mjanja M1
 
Malipo ya Mtaa wa Kipunguni ya fidia upanuzi uwanja wa ndege JNIA hadi leo miaka 27 kweli?
 
Back
Top Bottom