Ni utaratibu/ vigezo gani napaswa kuwa navyo ili kugombea nafasi ya uongozi Serikali za mtaa?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Salaam ndugu zangu,

Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa

Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini bado sijajua utaratibu na vigezo vinavyohitajika.

Kwa wanaoelewa vizuri taratibu za kufuatwa naomba msaada wa kueleweshwa Mimi na wengine wenye nia kama yangu.

Natanguliza shukrani
 
kujaribu uongozi ni kuwahadaa wananchi...

amua kuwatumikia wananchi ama laa...
uongozi ni wito sio majaribio...

Hata hivyo nakutakia kila la kheri utakapokua umejipanga na kuwa tayari kuwatumikia wananchi..
 
Salaam ndugu zangu,

Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa

Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini bado sijajua utaratibu na vigezo vinavyohitajika.

Kwa wanaoelewa vizuri taratibu za kufuatwa naomba msaada wa kueleweshwa Mimi na wengine wenye nia kama yangu.

Natanguliza shukrani
Kujua kusoma na kuandika tu inatosha kwa mwana CCM!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom