Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na...
23 Reactions
62 Replies
5K Views
Iko hivi katika siasa! Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya! Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kamati ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba imependekeza kuwa isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi. Pia kamati imependekeza kuwa...
2 Reactions
91 Replies
7K Views
Wale Wahenga wanakumbuka jukumu la Wasanii siasani enzi za awamu ya kwanza Wasanii walibaki kuwa waburudishaji tu Zama hizi tumeendelea Sana Wasanii Ndio Viongozi Watoa maamuzi Akina MwanaFA nk...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Tanzania inaishi kwenye shadow circuit development dilemma; mfumo ambao huna uwezo wa kuweka akiba kwa ajili ya kuendesha serikali bali unatumia makusanyo ya mwezi au kipindi flani kulipa salary...
3 Reactions
3 Replies
710 Views
Habari zilizotufikia ni kwamba, mbunge wa Eala, Shyrosebhanji anahojiwa na kituo cha Polisi Kamkunji jijini Nairobi baada ya kumchapa Makonde Mbunge mwenzake, Nderakisho kessy, juhudi za kumtoa...
11 Reactions
252 Replies
51K Views
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025. Hana sifa. Hana uwezo. Ni mbaguzi. Hatufai. Akigombea 2025. Hakuna wa kumkataza 2030. Tumkatae na mambo yake yote.
42 Reactions
132 Replies
7K Views
Serikali ilitangaza bei elekezi ya sukari kwa nchi nzima lakini mpaka sasa bei hiyo haifuatwi na bei ya sukari imebaki vile vile kabla ya matangazo ya bei elekezi. Kwa nini?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Norway imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika kukijengea uwezo Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kuiwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu kujenga Uchumi wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kufuatilia mambo ya Rushwa Transparent International Tanzania imeendeleq kufanya vizuri ambako Kwa Afrika Mashariki imetanguliwa na Rwanda pekee. --- How EAC...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii tabia ya viongozi wa serikali au wasimamizi wa mashirika ya umma katika miradi ya serikali kutoa tarehe za kuanza au kukamilika kwa miradi zisizo na uhalisia hata kidogo ni kiashiria kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Pita pita na mikiki mikiki ya Makonda Kila kukicha ni kuivua uchi serikali ya Chama chake. Ni kama huko ndani ya serikali ni uonevu na dharau dhidi ya kada ya chini. Malalamiko ya wananchi ni...
0 Reactions
5 Replies
687 Views
Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM 1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa...
14 Reactions
101 Replies
7K Views
Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
11 Reactions
91 Replies
10K Views
Kama waliochanjwa wakachomwa na busta juu bado wanaambukizwa corona kazi ya chanjo ni nini? Ndiyo swali la Gwajima. Watanzania zaidi ya millioni 50 hawajachanja lakini Corona Omicroni imewaruka na...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bi. Matha Mkupasi amemuagiza Mwenyekiti wa Kijiji kitela kata ya Chato kuhakikisha anaitisha vikao mara moja pamoja na wananchi ili kukomesha vitendo vya kishirikina...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Serikali Kujenga Ukuta Nungwi Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi Serikali imesema imeanza hatua za kujenga ukuta katika eneo la Nungwi Zanzibar kwa ajili ya kusaidia kuzuia maji ya...
0 Reactions
3 Replies
559 Views
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi...
12 Reactions
220 Replies
20K Views
Back
Top Bottom