Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya...
1 Reactions
4 Replies
838 Views
Kuna usemi wa kikoloni unasema " Do not wash your dirty linen in public" yaani kwa lugha ya madafu ni kuwa usifue nguo zako chafu chafu hadharani. Sasa Mwenyezi yeye anachukua nguo chafu za mamana...
3 Reactions
2 Replies
557 Views
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee. Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii...
25 Reactions
130 Replies
8K Views
Vijana saivi wanajiita chawa hivi unajua chawa ni kitu Gani au anasifa ya kukaa kwenye nini tuache Ujinga Wakufata fata mkumbo tujitambue tusimama kutetea Taifa letu
2 Reactions
9 Replies
634 Views
Katika kada ambazo Makonda anaweza kushindwa au kukwama kuzihoji hadharani hata kama ikitokea kukawa na malalamiko dhidi yake ni pamoja na 1. Mahakama; Majaji na Mahakimu 2. Uhamiaji 3. Jeshi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA IRINGA Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu...
1 Reactions
7 Replies
821 Views
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza...
45 Reactions
327 Replies
24K Views
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za...
11 Reactions
95 Replies
4K Views
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika mwaka wa 2024 kutakuwa na uchaguzi mwingi zaidi wa kisiasa duniani kote kuliko mwaka mwingine wowote. Hata hivyo, watu wengi wanazidi kuacha kuwaamini wanasiasa. Katika uchunguzi...
2 Reactions
3 Replies
309 Views
Mara nyingi Mteule wa Rais akiwaza na kutaka kutekeleza mambo kwa uwezo wake wa kufikiri lazima atumbuliwe au aonywe. It's like kuteuliwa ni sehemu yakuua maono binafsi ya mwanasiasa badala yake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Polepole alileta hoja ya wagonjwa kujiandikisha wapate dawa kutoka CUBA akishirikiana na Hospital ya Kairuki Tukaandika hapa kwamba mpango wake umepigwa vita na wanasiasa wenzake na kwamba...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaam Jf, Nimemsikiliza mtoto Halfan Gidion nikatokwa na mchozi binadamu tuzidi sana kumwomba Mungu Kwakuwa yeye amemchagua Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwamba ndio tegemeo lake la...
3 Reactions
1 Replies
519 Views
Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa...
9 Reactions
99 Replies
11K Views
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano CHADEMA walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama. "Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom